المدة الزمنية 21:7

MPAKA NYUMBANI KWA WEMA SEPETU HII NDIO NYUMBA HALISI ANAYOISHI KIJICHI UKICHANA ILIYO TREND MTANDAO

بواسطة BONGO TRENDY TV
257 454 مشاهدة
0
1.2 K
تم نشره في 2021/03/01

Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje Ya Tanzania Tufollow katika ukurasa wetu wa instagram @BONGO TRENDY TV Na kulike facebook page Bongo trendy online #wasafi,#diamond platnumz,alikiba,#harmonize,#ushamba,#nandyftalikiba,#nibakishie,#Wasafitvlive,#instalive,#Youtubelive,#Mboso,#lavalava,#zuchu,#koffieolomide,#diamond&kofiiolomide,#waah!,#waah!challenge #lavalava,kwaru,wcb,raha,#alikiba,yope,#rayvanny,#diamond,#bachela,#gere,#kwangwaru,#aslay,#missbuza,#thestorybook,#nanusu,#tetema,#nandy,#rayvanny,#lavalava,#hakuna kulala,#wasafi,#marioo,#live,#whozu,bedroom,#zuchu,mama,ashua,tamba,corona,harmonize,#afro east,#linawachoma,#chadema,#rostam,#dodo,#diamond platnumz,#mbowe,wana,mauzauza,#cheche,#amaboko,#zuchu,#uchaguzimkuu2020,#trending,magufuli,#wasafitvlive,nisamehe,#harminze,alikiba,#tundulisu,#nandy,jeje,#ccmlive,#yoperemix #wasafi#,diamond,#sikomi,#niache,#mbosso,#kwangwaru,#rayvanny,#lavalava,#diamondplatnumz,#eneka,#waka,#hallelujah,#nana,#kidogo,#fire,#kamwambie,#harmonize,#makulusa,#baila,#pamela,#iyena,#baikoko,#nikuone,#sijaona,tetema,niteke,#niuwe,#simba,#jeje,#gere,#kanyaga, Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje Ya Tanzania Tufollow katika ukurasa wetu wa instagram @BONGO TRENDY TV Na kulike facebook page Bongo trendy online #wasafi,#diamond platnumz,alikiba,#harmonize,#ushamba,#nandyftalikiba,#nibakishie,#Wasafitvlive,#instalive,#Youtubelive,#Mboso,#lavalava,#zuchu,#koffieolomide,#diamond&kofiiolomide,#waah!,#waah!challenge #lavalava,kwaru,wcb,raha,#alikiba,yope,#rayvanny,#diamond,#bachela,#gere,#kwangwaru,#aslay,#missbuza,#thestorybook,#nanusu,#tetema,#nandy,#rayvanny,#lavalava,#hakuna kulala,#wasafi,#marioo,#live,#whozu,bedroom,#zuchu,mama,ashua,tamba,corona,harmonizplatnumz,#mbowe,wana,mauzauza,#cheche,#amaboko,#zuchu,#uchaguzimkuu2020,#trending,magufuli,#wasafitvlive,nisamehe,#harminze,alikiba,#tundulisu,#nandy,jeje,#ccmlive,#yoperemix #wasafi#,diamond,#sikomi,#niache,#mbosso,#kwangwaru,#rayvanny,#lavalava,#diamondplatnumz,#eneka,#waka,#hallelujah,#nana,#kidogo,#fire,#kamwambie,#harmonize remix,#tanzania,#tutorial,#tumewas #hakunakulala,#raha,#nisamehe,#bedroom, #yopeyoperemix,#kwangwaru,#afroeast,#wcb,#tamba,#nandy,#aslay, #nanusu,#mama,#corona,#lavalava,#harmonize,#wasafi, #thestorybook,#rayvanny,#tetema,#zuchu,#mauzauza,#ashua,#amaboko #sukari,#waah,#hasara,#nobody,#wizkid,#davido,#burnaboy #diamondplatnumz,#wana,#kwaru,buza#,jeje,#gere,#baclava,#harmonize,#wasafi, #thestory book,#rayvanny,#tetema,#zuchu,#mauzauza,#ashua,#amaboko,#sukari,#waah#,hasara, #wananchiday2020,#wananchi,#yanga,#youngafricans,#yangasc, #antonionugaz #yangaleo,#senzo,#alichokisemanugaz,#kambiyayangakigamboninibalaa,#mshindomsola,#wapesalamu,#shutikalitv,#simba,#azamtv,#azamtvmax, #azamsports,#morrison,#hajimanara,#diamondplatnumz,#simbasc, #manara,#wasafi,#globaltvonline,#barakampenja,#tuisilakisinda, #ligikuu,#azamtv,#michezo,#highlights,#azamsportshd,#azamsports2, #yanga,#sportarenawasafitv,#sportarena,#tanzanianews,#wasafitv #diamondplatnumz,#wana,#kwaru,#hakunakulala,#raha,#nisamehe, #bedroom,#missbuza,j#eje,#gere,#bachela,#dodo,#alikiba,#diamond, #yope,#yoperemix,#kwangwaru,#afroeast,#wcb,#tamba,#nandy,#aslay, #nanusu,#mama,#corona,#lavalava,#harmonize,#wasafi,#thestorybook ,#rayvanny,#tetema,#zuchu,#mauzauza,#ashua,#amaboko,#sukari,#shusa #wasafi,#diamond,#sikomi,#niache,#mbosso,#kwangwaru,#rayvanny,#lavalava,#diamondplatnumz,#eneka,#waka,#hallelujah,#nana,#kidogo,#fire, #kamwambie,#harmonize,#makulusa,#baila,#pamela,#iyena,#baikoko, #nikuone,#sijaona,#tetema,#kainama,#niteke,#tamu,#niuwe,#simba,#jeje,#gere,#kanyaga,#sound,#wizkid,#davido,#burnahboy,#chrisbrown, #despacito,#inama,#sukari,#shusha #harmonize,#uno,#ibraah,#corona,#covid19,#kondegang, #kondemusicworldwide,#diamondplatnumz, #wcbwasafi,#rayvanny,#mbosso,#zuchu,#lavalava,#halifa,#snopdoog, #davido,african music,#afroeast,#eastafricansound,#afropop, #bedroom,#kakatuchat,#sautisoul,#khaligraphjones,#nyanshisk, #yemialade,#magufuli,#tiwasavage,#rema,#fire #boy,#joeboy,#skiibii,#gwajima,#joti,#cnn,#mpoki,#salimkikeke,#darasa, #bongomovie,#netflix,#samatta,#quarantine,#onenight,#lockdown #swahiliflix #ikulumawasiliano #magufuliliveikulu #chatolive #youtubelive #instalive #jux #ladyjaydee #rostam #stamina #dogojanja #jumalokole #drkumbukauhondo #didashaibu #mashamsham #zarithebosslady #tanashadona #mamadangote #esmaplatnumz #queendareen #uchebe #shilolenarommy #babalevo #wolper #kajalanaharmonize #auntezekiel #kusah #wasafitvlive #simulizinasauti #Ayotv #rickmediatz #dizimonilne #aristote #hamisamobeto #tiffa #koffieolomidenanandy #waa! #diamondnakoffieolomide #papamopao #mwananchidigital #Edigital #middlesimba #ptvtanzania #rayvannysoundofafrica

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 356
  • @
    @mussachief1024منذ 3 سنوات Upuuuzi huo Kwan kuwa staa ndio lazima kutoka kwenda kusalimia majiran majumbani kwao khaa tuwe na akili kila mtu Ana life style alojichagulia akiwakuta id="hidden1" class="buttons"> atawasalimia ila sio kutoka kwenda kwa jiran kusalimia Sawa na kuwalamba miguu kaishi hata kimbiji wema as long as unafuraha na maisha yako na uchumi unaruhus mfukon kwako maswal ya kipuuz eti unajiskiaje kuish jiran na super star Kwan superstar anapunguzia dhambi ama anaongoza njia ya mbinguni wa Tz sisi tujue kuwa superstar nae binadam km sisi ....وسعت 3
  • @
    @aminaomary5567منذ 2 سنوات Ongera sana madam wema kuwa na nyumba,maanake si kazi ndogo kuwa na mjengo 1
  • @
    @twiseghekisilu8845منذ 3 سنوات Nyumba nzuri hali ya hewa nzuri halafu kijichi kwa kishua Sana tatizo watu mmekalili! 8
  • @
    @dechaggagirl1614منذ 3 سنوات MBOna pazur tuu ila wabongo jmn mmh as long as waenjoy life yako ishi mama wema love uu 15
  • @
    @lilymashleely8285منذ 3 سنوات Kwa ivo its a good place ivo unatetemeka au vipi 1
  • @
    @jackyluns8224منذ 3 سنوات .mnanikera mnataka MTU aishi kwenye nyumba ya silver ama? Kwan wema si binadam kama sisi tu kama uani anaenda kama kawa tatizo mnamfatilia sana maisha yake 2
  • @
    @hatamimnimempendabulejaman1596منذ 3 سنوات Ndio hata mimi nilikuwa nasemaga merry Jina zur 3
  • @
    @kennethngoleka517منذ 3 سنوات Hongera wema,waandishi wa habari wengi wenu hamna nyumba mnapanga tu mbona hamtuoneshi nyumba zenu? 1
  • @
    @rithersospeterkati2303منذ 2 سنوات Ni kweli kabisa kila kitu ni Mungu Jehova.
  • @
    @selemansalehe2269منذ 3 سنوات Daaaah mwanangu unekela sas unalemba saut mpk tumekugundua punguz ushamba brooo me sewez ata kuangalia mpk mwisho 1
  • @
    @salwasuleiman3525منذ 3 سنوات Nyumba nzur maa shaa Allah muhimu ni kuridhika na maisha yake yye mwenyewe 2
  • @
    @nasraabdallah850منذ 3 سنوات Hapo utakuta anapanga.dah mastaa bana shida kweli 2
  • @
    @mervaanael8770منذ 3 سنوات Wema naku penda Sana mie nimu swahili nakaa kongo
  • @
    @credo7837منذ 3 سنوات Nilitak kuangalia mb zangu zingeenda bure bora nimepitia koment kwanza 8
  • @
    @tafutenimalembu8858منذ 3 سنوات Ovyoooo hapo mm ndiyo naishi sio kwa wema pumbavu Zako unatutangazia vila hata uwakika
  • @
    @ruthmaduhu8741منذ 3 سنوات Mmm jamani Kwani mlitaka akae mbinguni au .
  • @
    @jumakalukule5312منذ 3 سنوات Yani tz washamba wengi aiseee ndonini?
  • @
    @bashiruhassan7310منذ 3 سنوات Asa ww mbn unauliza watu baada ya kugonga mlango acha kusumbua watu na kz zao 3
  • @
    @nasradaudi1270منذ 3 سنوات .ivi jamani lini wem atafanyakit akasifiwa mbona binadam munaloho mbaya achane unafik muacheni jamani ashi kwa aman
  • @
    @lkshmykomar5472منذ 3 سنوات Mtangazaj unafanya ncheke ety shemeg anapenda vle alivo km anampenda naona anazeeka ndowa haijuw anafunuliwa 2 akiwachwa 1
  • @
    @jayjay4313منذ 3 سنوات Si Buza huko nilijua Mbagala Ulaya Marekani ndogo. Watu badala mfuatilie maisha yenu.
  • @
    @hatamimnimempendabulejaman1596منذ 3 سنوات Bola wee unasifia Lakin nashangaa watangazaj wengine walikuwa wanapaponda sijui walichukuwa nyumba nyingine ile hata ILE ilikuwa nzur 6
  • @
    @khadijahomankweliyamjahaya7421منذ 3 سنوات Sasa watu wanashaanga nn wakati huko ni ushuani watu wamejenga mijengo ya maan na hewa safi
  • @
    @naomijohn6759منذ 3 سنوات Umbea kaz kwani cha ajabu nini mbona mnawafanya wasanii waishi na wasiwasi jmhn mmmh cpend sana tabia zenu
  • @
    @robenapomola2395منذ 3 سنوات Nyumba inayotrend na inayo onekana tofaut 1
  • @
    @mwarishmodsalum555منذ 3 سنوات Mbona hugongi mlango mbwembwe nyingi umeishia nje ya gat lol uoni haya acha umbea usio na faida wema mtu kama watu wengine muache umbea ovyooooooooo 1
  • @
    @alhasannusair7225منذ 3 سنوات Mtangazaji ovyoooo mbona usiseme ya kwako unapoishi ata aishi shimoni yakuhusu nn 3
  • @
    @hatamimnimempendabulejaman1596منذ 3 سنوات Eti Walisema amefulia nawakat mwenzao bado Ana hela ni maamuz tu 8
  • @
    @maryjosephat2885منذ 3 سنوات Haikuwa rahisi kufika yeye anafikaje? Shuu
  • @
    @hatamimnimempendabulejaman1596منذ 3 سنوات Hata sisi mbona tulikuwa tunakaa nawo karibu wasanii. Paka kina dokta cheni tulikuwa tunakaa nawo kalibu na anatujuwa. Kawaida watu tumesoma paka na masupa star Kuna woya na wengine
  • @
    @judithgeorge1756منذ 3 سنوات Wewe mtangazaji ni mmbea sana acha unafiki 3
  • @
    @asaaomar4315منذ 3 سنوات Kama ninyumba yake kajenga hongera zake maisha popote 14
  • @
    @eddydauson7525منذ 3 سنوات Mtangazaji ulitaka wema aishi angani au? Wanaoishi mbagala ni wanadam pia na wema ni mwanadam ni kawaida kbs
  • @
    @wardadodo3848منذ 3 سنوات Ivinyinyi waandishi niwambea sana wenyewe atakibanda awana wengiwao
  • @
    @cheiknamouna2058منذ 3 سنوات Sasa yule aliyeposti kajumba kake alikuwa anateseka akiwa sehemu gani mwite nae aje mwonyeshee ili mteseke wote ila huyo mama msusi kakutoshea majibu yake
  • @
    @sophiamfikwa7340منذ 3 سنوات Huyu mtangazaji mpyaa au maana mmmh anamashauzi 1
  • @
    @novakauki5560منذ 3 سنوات Et unajisikiaje unapoishi na wema kwani amekua mungu mnamwa kweli nimbuzi kama mbuzi walivyo wengine
  • @
    @linetmokua6604منذ 3 سنوات Wema lakini uko poa wewe ni mpole sana i u. 1
  • @
    @arefali2312منذ 3 سنوات Mwacheni sweetheart aishi anapotak ni maamuzi yake 8
  • @
    @user-ij5ig4uu1yمنذ 3 سنوات Kwake kajenga au kapanga ila celebrities maisha Yao haieleki
  • @
    @hatamimnimempendabulejaman1596منذ 3 سنوات Ndio wema kashafanya Makubwa ukikumbuka mambo ya white maria
  • @
    @hatamimnimempendabulejaman1596منذ 3 سنوات Kuna kigoda tangu sisi wadogo cha miaka mingi
  • @
    @hatamimnimempendabulejaman1596منذ 3 سنوات Mh uyo mtangazaj mbona kama sura yake sio ngeni au nilimuona akioj watu 1
  • @
    @muhammadkifakara2573منذ 3 سنوات Hivi Vitv chanel vingine vya mapimbi bwana , sasa nyumba ulioonyesha iko wapi , unatuonyesha geti
  • @
    @munaahmed8499منذ 3 سنوات Ingiaaa tuone ndani kwake sasa hashuo teleee
  • @
    @priscaaugustino1919منذ 3 سنوات Mutu anaishi popote anapohitaji kuishii so msimujadi sana mdada wa watu
  • @
    @swahibamnene5847منذ 3 سنوات Ongea na maneno mengi xanaa unachoshaa