المدة الزمنية 4:38

Msanii wa WCB aelezea changamoto alizozipitia kwa wanafunzi Nganza High School

بواسطة Millard Ayo
113 986 مشاهدة
0
771
تم نشره في 2017/09/23

Ray Vanny ni msanii ambaye alitembelea Nganza Girls High School akiwa ni miongoni mwa wasanii baadhi waliopata nafasi ya kufika shuleni hapo kabla ya kupanda kwenye Jukwa la Fiesta usiku wa leo sept 23, 2017 Mwanza.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 35