المدة الزمنية 2:10

Simu ya Magufuli kwa bilionea wa madini ya Tanzanite

بواسطة Daily News Digital
4 849 مشاهدة
0
25
تم نشره في 2020/06/24

#Tanzanite #Mirerani #Magufuli #Manyara #Madini Rais John Magufuli amempigia simu mchimbaji wa madini ya Tanzanite, Saniniu Laizer aliyepata mawe makubwa mawili ya Tanzanite ambapo moja lina kilo 9.2 ambalo lina thamani ya shilingi bilioni 4.5 na la pili lina kilo 5.8 lenye thamani shilingi bilioni 3.3.. Rais amempongeza kwa uaminifu wake kwa kukubali kuiuzia serikali madini hayo kwa zaidi ya Sh7 bilioni- @Daily News Digital ​

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0