المدة الزمنية 33:1

NILIFUNGWA JELA MIAKA 10 NIMEKUTA MKE WANGU KAOLEWA ANA WATOTO 3,NAJISAIDIA KWENYE NDOO,SIWEZI KUKAA

بواسطة Davistar Mata Media
68 320 مشاهدة
0
498
تم نشره في 2020/05/12

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 308
  • @
    @towettcheptoo3047منذ 4 سنوات May the lord have mercy on you and pray hard bro nothing is impossible with God 5
  • @
    @lailalaila9114قبل 10 أشهر Daah mungu akusaidie kaka utapona tu afu kaka d uwe unatuletea milejesho tunapenda ona maendeleo y’a wagojwa wetu.
  • @
    @abdulhalimhumud1917منذ 4 سنوات Dah Mungu amjalie afya njema Kwa rehma zake na amuondoshee Mtihani amen aliekuwa nacho tumsaidie ndugu yetu 38
  • @
    @gmdecoration6044منذ 4 سنوات Inasikitisha Sana Kaka davista tunamuombea kwamungu mungu ndio kilakitu pia angeenda makongo juu kwa apostle mutalemwa angeombewa watu wana pona mungu anaweza Kaka pole Sana 7
  • @
    @aikamosha5644منذ 4 سنوات Mahakama mungu anawaona! Mwenyez Mungu akuponye bro,pole sn. 3
  • @
    @ummuhassan2268منذ 4 سنوات Pole sana kaka Allah Akupe shifaaa ya haraka 2
  • @
    @hamisifereji2769منذ 4 سنوات Daaa inasikitisha Sana Hakika mungu yupo na atakisaidia kk
  • @
    @aminajuma8098منذ 4 سنوات Am speechless ,may Allah intervene in his situation Amiin. 10
  • @
    @nooor1120منذ 4 سنوات Dhulma mbaya jamani
    Pole kaka Allah atakulipia hapahapa duniani biidhnillah.
    Allah akupe Afya njema aamiin
  • @
    @ayunramadhan3104منذ 4 سنوات subhanallah dhulma mbaya usimudhulum mwenzio maisha tu haya 5
  • @
    @momymood4341منذ 4 سنوات Jamn pole sana Mwenyez Mungu akuponye uamke tena 1
  • @
    @bintiiddy7043منذ 4 سنوات Maskini pole sana kaka Mungu akufanyie wepes jaman 6
  • @
    @lenniefei6710منذ 4 سنوات Inasikitsha sana.kweli magerezani wapo watu wengi tu ambao wanatumikia vifungo kwa dhulma tu.inshAllah mungu atamlipia kijana Tabu Mwei huyu. 3
  • @
    @fatmazullu4933منذ 4 سنوات Mmh mi naona nimwachie Muumba yarabbi! Inauma mnoo! 9
  • @
    @MariamMariam-jj1ujمنذ 4 سنوات Pole sana kaka kweli umasikini mbaya sana mungu akuponye kaka angu 1
  • @
    @fatmaalnabhani3609منذ 4 سنوات Pole baba, mungu atakusaidia na pia utalipiwa kwa kila aliekudhulumu 3
  • @
    @jasminali5921منذ 4 سنوات Subhanallah subhanallah yarabi jamni hakika dhulma ni mbaya Sana pole kaka 2
  • @
    @danielernest8588منذ 4 سنوات Dah Mungu ni mwema utapona ndugu yangu 1
  • @
    @salminmabrouk9567منذ 4 سنوات Pole sana best m.mungu atakujalia utapona mdogo wangu na utaendelea na Maaisha
  • @
    @africandarling6925منذ 4 سنوات Daaaaaa masikini Inauma sana Daaa AISSEH
  • @
    @elisanjichanyange5485منذ 4 سنوات Mambo mengine meusi jmn dunia hii mungu atunusuru, Pole kaka 1
  • @
    @hamidaalhabsi8568منذ 4 سنوات Daaaa UNA MOYO mkubwa mungu akuzidishie KHERI NA barka NA pole sana NA ugonjwa utampata nafuu ameen yarab 5
  • @
    @1lakiishaمنذ 4 سنوات Hissh pole sana kaka please swali kumuomba mungu njia yako ina malipo makubwa. Usimsahau ALLAH MOLE WETU WA KILA DUNIA mbingu na ardh 3
  • @
    @khadijajuma1408منذ 4 سنوات Subhana Allah
    Allah yupo pamoja na ww kaka angu
    2
  • @
    @juddyfuraha6272منذ 4 سنوات hey Davistar GOD bless you for hiring this, strori ya kaka Tabu yahuzunisha sana, mimi niko Nairobi ningependa kumtumia kile Mungu atanijalia lakini nambari hiyo haifanyi, kindly tusaidie vile tutakavyo mpa usaidizi wetu. 2
  • @
    @siriyangu4724منذ 4 سنوات Pole Allah akupe shifaa maana mmh uyo ni mtihani insha'Allah utauvuka amen
  • @
    @blingnetcyber5286منذ 4 سنوات mungu atamsaidia na aingilie kati kwa kila jambo 1
  • @
    @ibrahimrukundo3064منذ 4 سنوات SUBHANALLAH myak10jela kisa milion3.5 amedhulumiwa na wasimamizi waendesha mashtaka. 11
  • @
    @jacksonperfect6302منذ 4 سنوات Daaaaah pole jamaa yangu mungu yu pamoja nawee 2
  • @
    @lucygeorgina8656منذ 4 سنوات Dah noma kweli maisha haya sisi wanadamu tunajisahau sana unamsingizia mwenzio unamfunga miaka Ten bila uruma wakat hapa duniani tunapita tu dah kaka pole mungu atakulipia tu. Akhera ni mahesabu tu. 1
  • @
    @abbiekale8387منذ 4 سنوات Pole kwa hayo yaliyokubata.naomba upatilishe Jina liwe Baraka mwei, wachana na tabu ndio shida zikuaje pia. 1
  • @
    @everlineandeso822منذ 4 سنوات Pole kaka. maoni yangu mpelekani hospital kwanza aka anze matibabu nasituone vile tutazaidiana mandugu nikufaana 9
  • @
    @uwimananadia6066منذ 4 سنوات Pole sana kaka hakika maisha ni safari! Mungu yupo kaka angu na kila jambo hulijua kabla
  • @
    @hamoodalbusaidi4671منذ 4 سنوات Pole sana. usichoke kumuomba mungu atakusaidia utapona. na maisha yako yatakuwa mazuri mungu yupo na wewe
  • @
    @emmanuelmeela3065منذ 4 سنوات Daa, hii dunia acha tuu, pole sana kaka 1
  • @
    @rahmaramadhan9773منذ 4 سنوات Daaaaah jamanii Dunia jamanii hiii mmmmmh tumuachie mungu Allah akujaalie afya nasiha njema mitihani binadamu tumeumbwaaa. YaaAllah tupe mwisho mwema 1
  • @
    @demitrahawkins5457منذ 4 سنوات Ati ameanza maishais there any life to be started here? It's only God to help this situation haki 8
  • @
    @shababygirlshambuwa8388منذ 4 سنوات Mwenyezimungu akufanyie wepesi kakaangu .halafu namba Moja mumeikosea kwenye 26 nyinyi mumeandika 24 2
  • @
    @berthamakortha8387منذ 4 سنوات Yote ni maisha tu pole sana. 10 years sii mchezo. Nisamehe bure 3
  • @
    @conslatorjossy3951منذ 4 سنوات Pole saana kaka, mungu atakunusuru na hali hiyo
  • @
    @nurafedrick378منذ 4 سنوات Angalau Leo wanane
    Yani dunia hii kuna watu wanafanana nawarabu kuthamini vitu pesa kuliko utu wamtu pole kaka huyo mwanamke kwan alishindwaje kukusubiri hadi anaolewa miaka kumi watoto watatu makubwaa hayo halafu nahisi kama huyo mwanamke alikuwa hajaambia huyo mume kama alikuwa ameolewa mana kwann alishindwa kukujibu??ila pole sana Mungu atakusaidia utapata wako wahalali nautapona kwaimani ....وسعت
    1
  • @
    @juliusphabian6336منذ 4 سنوات Davister hiyo namba aliyoitaja na hiyo iliyopo hapo ni tofauti,,,,,Ilekebishe kama kuna uwezekano 3
  • @
    @KibamashaMashaمنذ 4 سنوات Mbn namba aliyotaja nitofauti na iliyoandikwa
  • @
    @swaumujuma6333منذ 4 سنوات Kweli inauma sana pole sana kaka mungu yupamoja nawe utapata nafuu
  • @
    @angeljasson4376منذ 4 سنوات Pole sana kaka Mungu atakufanyi wepesi utapona ila wazazi tujifunze kuwapa watoto majina mazur
  • @
    @chunaabdullah1333منذ 4 سنوات No Ya M, pesa please inauma Allah yupamoja nawe kkngu 2
  • @
    @saadaalmamary8397منذ 4 سنوات Pole kijana Allah akuponye ugonjwa wako ila mwizi siku zote hatoagi taarifa
  • @
    @najatsalummohamed9168منذ 4 سنوات Inaumma sanaaaaaaaaaaa kaka angu unamaumivu makubwa moyoni mwako hakika Allah kakujaalia mitihani mizito nayeye ndie atakaekujaalia mepesi zaidi ya mepesi hadi mwisho wa maisha yako .Amin ya rababl alamin 1
  • @
    @rosellaabraham13منذ 4 سنوات Rekebisha namba kaka davister.ni 26 sio 24. 2