المدة الزمنية 23:1

MSHIKEMSHIKE VIWANJANI -

بواسطة Azam TV
5 634 مشاهدة
0
44
تم نشره في 2020/07/30

Maandalizi ya fainali Kombe la Shirikisho la Azam Sports yazidi kushika kasi ambapo leo sehemu ya kwanza ya #MshikemshikeViwanjani imeunguruma kutoka Sumbawanga Ahmed Ally akitujuza kuhusu mapokezi ya Simba na maandalizi mengine. Fatma Chikawe akiwa Dar es Salaam naye ametujuza mengi ya kimichezo. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2