المدة الزمنية 3:40

Muhammad au Yesu Tofauti 5 Kati ya YESU na MUHAMMAD (Nani Aliishi Maisha ya Maadili)

بواسطة Ushahidi Films
1 256 مشاهدة
0
18
تم نشره في 2020/10/08

Katika video hii tunalinganisha maisha ya Mtume Muhammad na maisha ya Bwana Yesu. Tuone nani alikuwa mtu anayestahili watu kufuata mfano wake. Katika video tuliangalia pointi 5 tofauti. 1. Unabii na Miujiza 2. Ndoa 3. Shetani na Dhambi 4. Vita 5. Mali na Utumwa © Ushahidi Films

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 50