المدة الزمنية 1:6

Waadventista wahimiza kujali wahitaji

بواسطة Mazara Edward
98 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2017/06/17

Maelfu ya waumini wa kanisa la waadvetista wasabato jijini Mbeya wamefanya maandamano ya amani kukumbusha jamii umuhimu wa kuwakumbuka wahitaji katika mazingira yao na kuwahudumia.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1