المدة الزمنية 29:41

JIWE KUU LA PEMBENI | | EDWIN WENANI | | KUFUNGUA SABATO

بواسطة Mwenge SDA Church
168 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2021/04/23

Ukiwa na swali, uhitaji wa maombi, ubatizo wasiliana na Mchungaji kwa namba +255 677 048 069 au +255 784 458 957. Kama una ushauri usisite kutuma kwa namba +255 713 343 939 au barua pepe live@mwengesdachurch.or.tz. Tunapenda kukujulisha kupitia channel hii, kuna vipindi mubashara mbalimbali kila siku jioni kama; Ongeza Ujuzi, Afya ni Mtaji, Kona ya Watoto, Lijue Kanisa na Ibada mbalimbali na maombi. Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: https://bit.ly/SUBSCRIBE-Now, watumie na marafiki pia. Karibu pia kutembelea tovuti yetu: www.mwengesdachurch.or.tz Mungu akubariki.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0