المدة الزمنية 7:36

ALKA MBUMBA AWASILI TANZANIA KWA MARA YA KWANZA / MOTO UTAWAKA.

بواسطة Pazia TV
2 076 مشاهدة
0
31
تم نشره في 2021/12/28

Muimbaji Wa Muziki Wa Injili Kutoka DR Congo Alka mbumba amewasili D’salaam Tanzania Kwa Mara Ya Kwanza ambapo atahudumu Kwenye Ibada Ya Mkesha Wa Kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2022 “THE NIGHT OF EXODUS” Tarehe 31 Dec 2022 uliondaliwa na kanisa La Reality Of Christ (ROC) lililoko sinza Mori D’salaam.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 4