المدة الزمنية 4:44

MADENGE KAPATA MCHUMBA MZUNGU MWENYE PESA - VICHEKESHO

بواسطة Diituni
3 346 583 مشاهدة
0
8.5 K
تم نشره في 2020/06/14

Huu ni mwendelezo wa stori ya Madenge, ambapo kwenye video iliyopita Madenge alikataliwa na Mzungu kwa sababu alikuwa anajibu maneno ya kiingereza yasiyojulikana, ila kwenye hii video Madenge amefatwa na Mzungu hadi nyumbani, Na Mzungu kumwitaji Madenge amuoe japo Madenge ana pesa ila Mzungu kamwahidi atampa pesa nyingi kutoka katika familia yake ya kitajiri (Familia Tajiri ya Ki Zungu). Usikose Episode inayofata ili kujua Je, Madenge atakubaliwa ukweni (Kwa wazazi wa Mzungu)? Mfululizo wa stori ya Madenge, bonyeza hapa kutazama:- /playlist/PLKFsGWF6ctbe1nABvr-inXmPURCx-uwf2

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 343