المدة الزمنية 6:9

HAYA NDIYO YALIYOMKUTA KIJANA WA BODABODA BAADA YA KUOKOTA FEDHA YA MTEJA.

بواسطة MAHUBIRI TV
8 500 مشاهدة
0
134
تم نشره في 2018/02/03

NAOMBA RADHI KWA MWANGA USIO MZURI WA VIDEO HII.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 25
  • @
    @elliahsikira37466 years ago Mungu akubarik kijana kiroho na kiuchumi akuzidishie mara dufu. 3
  • @
    @magdalenawerema16582 years ago Mwenyezi Mungu akubariki Sana kijana! Hakika Mungu Anafanya kazi!
  • @
    @witnessmbogora39664 years ago Amina..kijana ubarikiwe sana kwa uaminifu wako
  • @
    @robertgwelela65816 years ago Amina pastor.neema ya Mungu ya uaminifu imemshukia kijana na kwakuwa amekuwa mtii basi Mungu atamsaidia ktk mengi kupitia hilo la kumrudishia pesa mhusika.
  • @
    @suzankwanndaniel66426 years ago Amin Mungu Wa Mbinguni Ampe Hekima Ili Amtumikie
  • @
    @johnnewland99106 years ago Kwel Mungu huita kila mtu kwa namna ya ajabu..... 1
  • @
    @julijuli70376 years ago Mutumishi na nabii wa muumba wambingu nainchi uzidi myaka mingi ili roho nyingi zipate uzima wamilele kupitia wewe amina.
  • @
    @anethnico45376 years ago watu wote wangekuwa waaminifu kama huyo kijana jamani ni mibalaka tu 1
  • @
    @computersoftware24676 years ago haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa anaweza alikuwa ana njaa tu msimu huu uludishe pesa kwelia kama kweli jina labwana liimidiwe
  • @
    @julijuli70376 years ago Mutumishi na nabii wa MUNGU nahitaji shauri kwako nimepewa neema ya kuwapata nyinyi watumishi wa kweli nahitaji shauri yako kwangu nitakupata jee?nahitaji tafazari ninaomba.
  • @
    @suzankwanndaniel66426 years ago Amin Mungu Wa Mbinguni Ampe Hekima Ili Amtumikie