المدة الزمنية 3:43

KISWAHILI PSALMS: ZABURI 116, SIKUKUU YA MWILI NA DAMU YA BWANA WETU YESU KRISTU, MWAKA B, 06/06/21

بواسطة Jo Psalmist
372 مشاهدة
0
4
تم نشره في 2021/06/04

MWILI NA DAMU YA BWANA WETU YESU KRISTU ZABURI 116:12-13, 15-18 K(13) NITAKIPOKEA KIKOMBE CHA WOKOVU NA KULITANGAZA JINA LA BWANA Nimrudishie Bwana nini Kwa ukarimu wake alionitendea? Nitakipokea kikombe cha wokovu; Na kulitangaza jina la Bwana. Ina thamani machoni pa Bwana Mauti ya wacha Mungu wake. Ee Bwana, hakika mimi ni mtumishi wako Umevifungua viffungo vyangu. Nitakutolea dhabihu ya kukushuru; Na kulitangaza jina la Bwana; Nitaziondoa nadhiri zangu kwa Bwana Naam, mbele ya watu wake wote.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1