المدة الزمنية 1:54

Kilichosababisha hukumu kesi ya Wema kukwama kutolewa leo

بواسطة Millard Ayo
2 863 مشاهدة
0
13
تم نشره في 2018/07/16

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imekwama kutoa hukumu ya kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili Wema Sepetu na wafanyakazi wake 2 kwa sababu kuna baadhi ya vitu havijakamilika. Hukumu hiyo ilitarajiwa kutolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba baada ya mawakili wa upande wa utetezi kufunga ushahidi wao.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 5