@harmonize_tz Akituelezea Safari Nzima ya alivyokuwa akiishi kijiji kwao na nini amepanga kubadilisha kijijini kwao,amepiga story nyingi na @motown_sanya
#wasafi#motown_sanya
@azizamkindi1784منذ 5 سنواتBora anapeleka mpenz wake nyumba kwao sio wengine wanaongopa naomben like zen umefanya kitu kizuri 778
@
@LK-dj6fwمنذ 5 سنواتI really love what you did my brother.so sweet 5
@
@antoinebakevya8911منذ 5 سنواتCongrats and HAPPY BIRTHDAY my favorite artist 3
@
@saidahj2543منذ 5 سنواتReal men never FAKE life.ako muwazi na familia yake ameweka ustar kando.mahusiano mazuri na wazazi majirani na marafiki.much love harmonize 16
@
@mevicesifuna2134قبل 7 أشهر2023 watching this I love you harmonize❤❤❤❤ 1
@
@gordonobado5359منذ 5 سنواتkuonyesha ulimwengu ulikotoka si suala rahisi.it's grateful to appreciate your background 43
@
@felixmagulu6142منذ 3 سنواتHongera sana Konde boy kwa kuenzi maisha ya kijamaa pia kwa kukumbuka nyumbani uliko toka, Hizo ni baraka brother. 6
@
@angelinajolly1826منذ 5 سنواتHarmonize may God bless you . you are a real man 5
@
@joharajohara4355منذ 5 سنواتThat's great Harmonize.being proudly of your village. 2
@
@Mzee_Kobe254منذ 5 سنواتTokea Seattle, Washington. bado tuko na wwwe kijijini.. like what you doing bruh.. kipeth real forever.. happy birthday!! 23
@
@lareinemere1329منذ 5 سنواتI very appreciate Harmonize you keep your dad company love you 2
@
@somoemmanu3513منذ 5 سنواتNimefurah kuona yupo happy na baba yake km rafiki yake hongera rajabu 228
@
@thomasponera6018منذ 5 سنواتkonde boi you are amazing guy, uko real sana Mungu akubarki 89
@
@daniellamaellysp.3448منذ 5 سنواتI don't understand anymore but just saying i Love them , Harmonize Lavalava, Rayvann, Diamond, Big up bro's 2
@
@alexndombondombotermo5841منذ 5 سنواتKonde boy big up I'm one of your supporters from beira mozambique❤❤ 10
@khadijamadry7822منذ 5 سنواتHAMORNIZE uwe na moyo huo hup wa kuthamin wazaz wako muache mond alemee upande mmoja big ap sana kaka Allah atakulipa kheri mbona ukijenga hapo kweni hizo vila swawabu nying sana 5
@
@wegochannel1013منذ 5 سنواتIts so amazing watching u moving back home with your fiance , though she is alittle bit scared but she looks happy 9
@
@hawata7614منذ 5 سنواتma sha Allah hongera kaka ang mung akufikishe sana 16
@
@esthjohn545منذ 5 سنواتU can put this Place in the big history. Deve fazer tudo por tudo por num grande história da sua vida
@
@madolovetanzani248منذ 5 سنواتHaaale nmekuwa watono kuko menti naomben like zangu 146
@
@zakyahya4645منذ 5 سنواتSafa wewe mashallah uko na mapenzi ya kweli yani uko unaosha masufuria ya jiko la kuni mmmh honger 6
@
@kwemboilenatuganda9631منذ 5 سنواتThis guy is proud of his village en his parents thanks nro 7
@
@user-qs9rn2je4cمنذ 5 سنواتduuu uko vizuri km jina lako hongera sana 1
@
@benikotitus969منذ 5 سنواتVery much surprised with this tour- harmo you have adopted the brish features this is due to high exposure obtained after different tours you made out of this Tanzania 1
@
@anetaaneta1216منذ 5 سنواتWow kwni tulisherekea pamoja na ww pia mm bathday yangu ilikua jana,nakukubali kaka yani hauringi kama wengine waaah mungu akujalie mafanikio mema am from 1
@
@edwardnjiuka7403منذ 5 سنواتDogo HARMONIZE upo sawa sana nyumbani ndiko kwenye baraka zote na wasanii wengine waonyeshe nyumba walizozaliwa huko vijijini kwao wengi hawawezi maana wanaogopa kudhalilika big up sana dogo 15
@
@salimkhamis3638منذ 5 سنواتHuyo anayeripoti hii habari anaonekana sio 'profession' wa mambo ya habari, yaani anashindwa kukabiliana na Mazingira ya Kijijini katika ufikishaji id="hidden6" class="buttons"> na hata uulizaji wake wa Masuali. Kwa mfano baadhi ya sehemu kama alipotambulishwa kwa Shangazi zake hakutakiwa kutumia jina la 'Harmonize' bali atumie Rajab ambalo ndo linatambulika huko. Eti anamuuliza Shangazi yake, "Shangazi umemuona Harmonize?" ....وسعت1
@
@buraimoselemaneselemaneabu7524منذ 5 سنواتmuito bom senhor harmonize gostei muito não mem tiu nem pouco para sua esposa 3
@
@johnnyzilla6499منذ 5 سنواتwe ni star wa kweli unakumbuka palipo kukuza big up chaliii 1
@
@ibrahimgwasma235منذ 3 سنواتVery green street pazuri Sana Nice one
@
@hamedal-shruiqi2123منذ 5 سنواتMungu azidi kukubariki hongera Sana hormo 6
@
@boutinnysixbizz8838منذ 5 سنواتOfficial harmonizer in her naturally life 8
@
@wamberelove4722منذ 5 سنواتdiamond will regret one day whatever he’s doing to his dad!! & yet it’s the same thing he’s doing to his kids!! big up harmonize ❤️ 12
@
@margarethsaramaki1100منذ 5 سنواتHii safi sana Rajabu, na hata wazungu uwa wanapenda ile nature yetu.Sarah ana enjoy 2
@
@christianabelly6329منذ 5 سنواتDaaah harmonize big up sana broo kumbe hata mm nawez fanikiwa kua kama ww kweli maisha ni safari ndefu 1
@
@madolovetanzani248منذ 5 سنواتMashallah safi sana mkataa kwao mtumwa hamonaiz ujakataa kwako very nice ila ujitahisi msaidie uyo mpenzi wako wa zamani 5
@
@khadijamzee2739منذ 5 سنواتI like the way harmonize celebrated his birthday
@
@SelemanPharlesمنذ 5 سنواتUSHAURI WA BURE: huyo mzungu wako mkienda vijijini jitahidi mvalishe nguo za kuziba mapaja na matiti.na sisi tumeoa wazungu lakini tukiwapelekea vijijini id="hidden7" class="buttons"> lazima wafunike kuheshimu mila na desturi za wazee..iJapo tukiwa Dar paja nje chuchu nje poa tu.Ila vijijini she better behave..No matter what, we are still Africans and we should respect that, especially when we are in villages. POVU RUKSA ....وسعت2
@
@laizsuke8265منذ 5 سنواتHuyu na shilole hawajivungi wapp social sana, big up home ni home tu 59
@
@skylarshebby8235منذ 5 سنواتduuh good sanaaaa kaka harmonize Nimeipenda sanaaaa hiyoooo couple.kma na wewe umeipata hiiii gonga like 2
@
@omanoman-gs4zbمنذ 5 سنواتMashaaAllah. Raji Umefanya Jambo la mana. Allah Azid kukupa kheir zaid 40
@
@ricardodeazo2070منذ 5 سنواتbig up boy, hongera sana kaka, much love for family 5
@
@samburuonlinetvمنذ 5 سنواتKonde boi nashukuru unapenda sana baba yako hapo sawa kwa kumjali baba, bosi wako du ! 9
@
@fadhillawisoniadam7767منذ 5 سنواتBaku kubali sana harmonize kama na ww upon miongoni mwa watu mnaomkubali tafdhali naomba LIKE yako 1
@
@managermipango2843منذ 5 سنواتKitu ambacho nimekipenda huna fake life una really life, huna maisha ya kuigiza ni mkwel na muaz. Mastaa kbao wanaficha vijiji vyao, 183
@
@faridabakari8511منذ 5 سنواتMashaAllah watu tanatoka mbali I say big up Rajab Hammond ❤ 1
@
@babailu2133منذ 5 سنواتDah Harmonize umetisha sana Big up kwa ulichokifanya.
@
@deearacemarg450منذ 5 سنواتHarmonize Chelsea Fun like me.I love your village big up bro 17
@
@tedymwandara5480منذ 5 سنواتYani Harmonize utafika mbali zaidi Mungu hupenda tuwasaidie watu tunapofanikiwa, mpango wa kujenga villa ili ukoo ndugu zako wakae pamoja ni jambo kubwa id="hidden8" class="buttons"> sana, wasomi wakisoma wanatokomea peke yao ht kwao hawaendi, ninayo mifano take it from me! ....وسعت1
@
@stevenobillo7100منذ 5 سنواتaisee unajielewa sana harmonize.hujaogopa kuonyesha nyumbani,good
@
@mrthreesix280منذ 5 سنواتBig up bro..mshauri basi hata na boss wako.we mamako alikosana na babako ukiwa miaka miwili na unamuenzi babako na hizo ndo barraka kakangu vipi mond.mshauri bana aishi Kama wewe 59
@
@jokhakhalef822منذ 5 سنواتHongera baba kwa kweli umefanya jambo zuri saaana. 2
@
@dkensmopainvevo3683منذ 5 سنواتKonde boy unatisha saana bro I love it unanipa hamasa 2
@
@karimusindi8574منذ 5 سنواتKonde boy I'm appreciate Rajabu and all member from W.C.B ila umenikosha na singenge mzee baba 1
@
@emmypc8362منذ 5 سنواتWallah nimejikuta nafurahi tu Rajabu mungu akuongoze uzidi kunufaika nakuwanufaisha wazazi wako ,,,.eeh mungu nami niongoze niwe na afya nguvu uzima nipambane niwaflaishe wazazi wangu jmn baba Amo anajua kudundika
@
@pichunakichuna2111منذ 5 سنواتWow big up hammonize u don’t leave fake life ❤️ 13
@
@IsdoryDominic-dd8wgقبل 11 أشهرHongera cn we ni mwamba,,,kuna wengne hawayakubali maisha yao ya zaman
@
@mongeramatondo416منذ 5 سنواتYn huyu kaka jmn yuko vzr hanaga majivuno km wasanii wengine, big up nmekupenda bureee 1
@
@mimah1547منذ 5 سنواتHamonize umefanya nizid kukupenda yaan dah!!! Mungu akupe maisha maref na mafanikio tele inshaallah 6
@
@babanjuru8738منذ 5 سنواتSafi Sana Harmonies sio diamond baba yake Amsaidii
@
@mimaakenirram1405منذ 5 سنواتmashallah me nakuombea ujenge hizo nyumba lnshallah kumuezi babu yako 1
@
@jordlynwoods9684منذ 5 سنواتI like this boy harmonise he is very open with his life he does not care keep it up boy ,diamond jifunze kwa hormo 26
@
@polinahkilunju9414منذ 5 سنواتPongezi Harmonise kukumbuka ulikotoka, big up mdogo wangu na Happy Birthday
@
@ashajuma970منذ 5 سنواتMashaAllah wasanii waigee huu mfano wa mwezao kuweka mambo wazi ya maisha yake.
@
@simbarajabu4157منذ 5 سنواتNimekupenda sana Mdogo wangu kwa kujuwa nyumbani ni nyumbani
@
@malaikaizegelle4428منذ 5 سنواتIvi wanaombaga like uwa mnazifanyiaga ninibasi na Mimi naombeni like 162
@
@johnsonwanyangachika1585منذ 5 سنواتDaaaa harmo kazi bado unayo bhana kama uliweza kugawa pesa kalia koo jitaid badilisha mazigira ya ukoo wako pia history unaweza kuitunza ila mm naona ndugu id="hidden11" class="buttons"> zako bado wanaitaji msaada wako ata mpenzi wako wa kwanza msaidie bhana ....وسعت
@
@nurungangise9802منذ 5 سنواتWazo nzuri san lakujenga hivo ulivosema Mungu akujarie
@
@fallymetoo191منذ 5 سنواتAllahumma bareek Inshallah Mkataa kwao mjinga Home Sweet home Enjoy 38
@
@mbondokambi8053منذ 5 سنواتDaaah Mungu akuongoze mwanangu Harmonize 1
@
@mbodzebemasika7477منذ 5 سنواتMzungu kwanza anapenda mazingira ya mwitu Allah awasimamie..nimempenda huyu baba..sara uvaege nguo ukienda kwa wakwe 51
@
@shemsaabdalla1064منذ 5 سنواتHv dogo huwa una kichwa cha aina gani?ww ni genius Wallah,unajua ulikotoka lzm ufanikiwe unakoenda n Mungu akusimamie
@
@anthonyfaru9908منذ 5 سنواتSafi sana kukaa ukapatana na wazazi wako, wakafurahi hata kama mzazi alikufnyia sivyo, usiweke bifu bora ukanyamza utaonekan bora 21
@aboubakarmassooud6908منذ 5 سنواتNimependa Sana Konde boy Kweli Konde hausau asli yako. In Shaa Allah Mungu akupe wepesi kwa Nia yako
@
@naslamgollowatuacheee9852منذ 5 سنواتNimependa mazingira yenu hamo hadi raha mungu akusimamie kwailo kukuza familia natamin ningekua miongon mwa familia piya nifamilia ya heshima na dini mungu awabarki ila sara mvalishe madira kwanza kijijin 7
مقاطع الفيديو ذات الصلة على GHETTO LA KWANZA LA HARMONIZE KIJIJINI KWAO / SIJAZALIWA TAREHE 3 OCTOBER:
you are a real man 5
Nice one
Mastaa kbao wanaficha vijiji vyao, 183
Mkataa kwao mjinga
Home Sweet home
Enjoy 38
Kweli Konde hausau asli yako. In Shaa Allah Mungu akupe wepesi kwa Nia yako