المدة الزمنية 4:9

UTAPENDA MABASI ZAIDI YA 60 YAKITOKA KWA MBWEMBWE UBUNGO ASUBUHI

بواسطة Dutch safari
514 172 مشاهدة
0
1.5 K
تم نشره في 2020/10/04

Mabasi ya mikoani yakitoka stendi kuu ya mabasi ubungo asubuhi kwenda mikoani COMMENT BUS LINALO ENDA MKOA WAKO HAPO CHINI.. #dodoma #mbeya #kilimanjaro #Arusha #songea #iringa #morogoro #mwanza #bukoba #Tanga #mtwara #kigoma #Tabora #singida #mara Tazama video nyingine;- Basi bora zaidi kiwahi kutengenezwa East Africa: /watch/IPz3gZXX5xPX3 Video ya juu drone muonekano wa jiji la Dar es salaam: /watch/Y5mfh_26VDP6f ........................................................................ Asante kwa kutizama video hii tafadhali usiache kusubscribe kwa kubonyeza alama ya kengele hapo juu. Ushirikiano wako ndiyo ukuaji wa channel hii Thank you for watching but please don't forget to subscribe,comment and share. your support is our progress.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 237
  • @
    @dutchsafari7562منذ 3 سنوات Mpambano Kati ya BM VS KILIMANJARO express nani zaidi?

    2
  • @
    @ewaldambrose6136منذ 4 سنوات Well done Tanzania..that is just a temporary bus stand..The unique bus stand is in Mbezi louis..expected to start operating few days to come..is the biggest id="hidden2" class="buttons"> bus stand in Eastern and central Africa..visit there you will see it..has a capacity of hosting 1000 buses at a time..this is Bongoland..This is Tanzania..Viva Magufuli ....وسعت 9
  • @
    @piusify4684منذ 4 سنوات Nimeipenda hii. Kidia one - Arushaaaaa 1
  • @
    @hamzaazizi5281منذ 4 سنوات Sauli,imani,new force, majinjah mbeya moja 3
  • @
    @danieljaphet7818منذ 3 سنوات Hapa ndio mkoa wa kigoma, bus kama zote. Hongereni sana madereva na wamiriki wa vyombo vya Moto. 1
  • @
    @yusufbashir7485منذ 4 سنوات Nimeina maning nice na H G hapo simchezo 5
  • @
    @abdulzackawami7780منذ 4 سنوات New force,Super feo,Tavavilli Dar to Tunduma,Ruvuma 6
  • @
    @martinswai8031منذ 4 سنوات Mamae bongo sihami, kama ulaya!!! Nimeiona Rungwe Express 1
  • @
    @emmanuellutaremwa391منذ 4 سنوات Nimeiona Osaka hapo. One way mpaka bukoba mjini 2
  • @
    @tunkuh661منذ 4 سنوات sauli mbona waniudhi sauli wawatesa watu wanguuuuuuuu 7
  • @
    @florahkimbage9571منذ 4 سنوات Safi sana Tatizoa Sauli tu akianza fujo zake huko barabarani
  • @
    @mtemilenga6012منذ 4 سنوات iyoo kona ni tatizoo labda ingewekwa round about
  • @
    @happynesskibona2679منذ 4 سنوات Jamani kucheza Na magari naona watu wanavuka ovyo tuu hii si nzurii watu wapo kazini
  • @
    @halimaluhigo966منذ 4 سنوات Sharifu Mohammed Kali yao bbt moja iyo
  • @
    @jumasalum2722منذ 4 سنوات Dar moro, jiji kasoroo,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
  • @
    @edenihongoli5906منذ 4 سنوات Zimetoka gari 42 lakini zilikuwa bado zinaendelea kutoka 2
  • @
    @munaahmed8499منذ 3 سنوات Tanzania masha allah imebarikiwa mikoa mingi kweli had kufikia magari yote hayo bado kuna yanayorud kam hayo masha allah nimependaa mno Allah anijaalie id="hidden3" class="buttons"> norud salam niende mooan Tanga nipande raha leo ama tashrif jmn Tanga kwetuuu ....وسعت
  • @
    @hanankhalifa8309منذ 4 سنوات Napenda Mda uwo hahaha mnakimbizana yan kushindana 4
  • @
    @SalmaMohamed-uq5zlمنذ 4 سنوات Ester luxury arusha usafir mzur unasinzia kabisaa 1
  • @
    @ashaamir4585منذ 4 سنوات Safi sanailafoleni itakuwa changamoto magari yote yatatumia chalinze
  • @
    @josephkitiku3116منذ 3 سنوات Ubungo kulikuwa kuzuri na karibu ila mbezi ya magu zaidi ya uzuri 1
  • @
    @renatusmatungwa6800منذ 4 سنوات Dah nimependa mpangilio wake sasa cjui huko njiani itakuwaje hasa mabus yanayoenda Mbeya na Mwanza yanapenda kushindana 10
  • @
    @philipo98samuelsamuel16منذ 4 سنوات Wazee wa masaa ya mbele sijawaona apo.
  • @
    @mantyara9981منذ 4 سنوات Huo mlango una njia nyembamba sana mamlaka ipanue
  • @
    @machintangachibwena5922منذ 4 سنوات Kwa mfumo huo wanavyotoka lazima washindane tuuu 2
  • @
    @samwelmakuni8079منذ 4 سنوات Sauti moja ikasikika ikiulza kwani dar kuna nn?
  • @
    @abdulmruke2246منذ 3 سنوات Machame, mj safari, Jambo, sharif Mohammed, polepole, mtei, emigress, KONDOA Hadi BABATI
  • @
    @hamisimuya8620منذ 2 سنوات Tumesha isahau hii Yuko viepii sasahivi
  • @
    @ndulamwakitalima7505منذ 4 سنوات It shows that we can do better with c.c.m 8
  • @
    @friminamkenda7405منذ 4 سنوات Chapen h kazi hhhhhhhhhh weken u vyama pemben hya ndo maendleo jMani JPM tunakuombea 2
  • @
    @emmanuelmoshi8168منذ 4 سنوات Wapi mnyama simba Newforce sumbawanga fuuuu saa 6 uck net ndani stand
  • @
    @humaidalnaamani4183منذ 4 سنوات Hakika mabus ya navyo toka kwa wakati mmoja wa furahisha sana bali kisheria ya hitajika iwekwe kizuizi hakuna mtu kukatisha barabara na atakae katisha id="hidden4" class="buttons"> afanyiwe hatia kwani gari likigonga mtu ni hatari na litapoteza wakati mkubwa kwa zinazo fatia nyuma yake ....وسعت
  • @
    @cosmasdaud9088منذ 4 سنوات Ni haki kujengwa stand ya mbezi mabasi Ni mengi 1
  • @
    @neemamusuya7581منذ 4 سنوات Chatiko kisiwan gonja daar naiona hapo
    Nimekumbuka kisiwan Kilimanjaro same
  • @
    @thegreat.9869منذ 4 سنوات Selous newforce superfeo. nmemis safari zenuuuu
  • @
    @loner_wolfمنذ 4 سنوات MIMI NAJIULIZA TU KWANI HUYU ALIYERECORD HII KITU ALIKUWA NA UGONJWA GANI . ? kama nawewe unajaribu kuwaza kama mm TUJUANE
  • @
    @lakuchumpa9724منذ 4 سنوات Naona nchi inasimama kwa muda kupisha mabasi yatoke 1
  • @
    @teddyoscar6876منذ 4 سنوات Sasa hao watu kusimama hapo karibu kabisa ndio nini? Na wengine wanaruka barabara jamani hatari tupu wakizolewa na basi itakuwaje? Ushamba tuuuu‍♂️ 1
  • @
    @nasiramour1248منذ 4 سنوات Oya mbona la dar to zanzibar sijaliona au macho yangu
  • @
    @leecode6135منذ 4 سنوات no hiyo bus terminal hapo ihame jamani duuuuh vumbi msongamano vurugu tu ebu malizeni ilê terminal kibaha tupumzike duuuuh
  • @
    @hamisiiliyasi3400منذ 3 سنوات Inayo kuja bukoba ni afirika lahaa na sabuni
  • @
    @elineokusiluka9683منذ 4 سنوات Hivi ligi ya mabas ni Tz tu au na nchi zingine ipo?
  • @
    @simonkusekwa4261منذ 4 سنوات Kwani Yote yamejaza Abilia mnieleweahe wapendwa 1
  • @
    @magrethbenjamin4969منذ 4 سنوات Kwann wanaka barabaran ivo wanajipitisha pitisha kam malaya mkikgongwa
  • @
    @braysonmakundi1598منذ 4 سنوات YOTE TISA MCHINA NAKUVULIA KOFIA BAS GIAR SITA MWENDO SASA KAMA GARIDOGO APOTU MPOVIZURI
  • @
    @samuelnyabange2069منذ 4 سنوات Nimetumia magazijuto, nikapata jumla ya mabasi 76.
  • @
    @siphaellutumo6718منذ 3 سنوات Nisingeiona super feo ningesema apo sio tanzania 1
  • @
    @laurentlukosi9786منذ 4 سنوات Hapo wanaonekana wastaarabu mbele huko unaweza ukasema ni madereva wengine
  • @
    @kacherosimba5762منذ 4 سنوات Ambaye hajaona basi la kwao hapo tujuane 5
  • @
    @wisdommoshi1908منذ 4 سنوات asee ni mengi na hvi sasa yanahamia mbezi
  • @
    @sulaymanwaziri4455منذ 4 سنوات Acha uongo mabasi yapo 41 na coster 1,, singo yapo 6 na double 35 sijaiona JM yangu
  • @
    @peterkibuga401منذ 4 سنوات siwezi kuyamiliza kuyataja mana ukiachana yanaoishia iringa lakin yote yapitao barabara kuu iringa t to Zambia yote yananihusu mm apa ya njombe songea tundumA mbeya yote napeta nayo
  • @
    @rinaldaoman7892منذ 2 سنوات Maisha humo Kuna walioshindwa maisha DSM WANARUDI SONGEA
    MATIMILA KULIMANVIAZI.NA.MIHOGO
  • @
    @ismailyusuph740منذ 4 سنوات Mbona gari zangu sijaziona ‘ wamewahi kuondoka au wameanza mchezo wa kusafiri Usiku nini .!.Hebu ngoja nipige simu’ shenzi kabisa.!..WASINTANIE.! 1
  • @
    @jumasaimon8652منذ 4 سنوات Watu wa mbea alieiona majinja gonga like
  • @
    @shabaniguma8696منذ 4 سنوات African kweli hatari kwahio watu watembea kwa miguu hawana haki useless
  • @
    @teddykanondo5753منذ 4 سنوات CCM mumeiba kura, mumepiga watu, mumeua watu, mumefunga watu kwenye uchaguzi huu lakini na nyie hii miaka 5 tutawachoma sana. Mwenye ulinzi aweke na muwalipe msipowalipa tutawatumia hao kuwachoma.
  • @
    @issaabdallah2417منذ 4 سنوات Mabac yote mazur yanamvuto ila kun1 limetia fola au macho yangu yaan baya
  • @
    @paschalaxwesso6844منذ 4 سنوات Wapi JMC, ABC, wapi Saratoga, wapi Jambo 1
  • @
    @muhmdmystikal8313منذ 4 سنوات Naiona new force.nmemiss kusafiri Dar to ruvuma 2