المدة الزمنية 4:13

Swahili of Mozambicans - Kiswahili cha Msumbiji (sanifu, kimwani)

بواسطة Umoja Afrika
3 171 مشاهدة
0
41
تم نشره في 2021/04/06

Msumbiji (pia Mozambik, Mozambique kwa Kireno: Moçambique) ni nchi ya Afrika ya Kusini-Mashariki. Msumbiji iko ufukoni mwa Bahari Hindi ikipakana na Tanzania, Malawi, Zambia, Zimbabwe, Afrika Kusini na Uswazi. Upande wa mashariki kuna kisiwa cha Madagaska ng'ambo ya mlango bahari wa Msumbiji. Jina la nchi limetokana na Kisiwa cha Msumbiji (kwa Kireno: Ilha de Moçambique) kilichokuwa boma na makao makuu ya Ureno kwenye pwani ya Afrika ya Mashariki. Sikukuu ya Taifa ni tarehe 25 Juni, ulipopatikana na uhuru mwaka 1975. Kimwani ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Wamwani. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimwani imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimwani iko katika kundi la G40.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 10