المدة الزمنية 11:19

LIVE​: MASHABIKI wa YANGA Watoa POVU Baada ya SARE na KAGERA SUGAR, Wamvaa KOCHA

بواسطة Global TV Online
71 825 مشاهدة
0
310
تم نشره في 2021/02/17

🔴#LIVE​: MASHABIKI wa YANGA Watoa POVU Baada ya SARE na KAGERA SUGAR, Wamvaa KOCHA... Mtanange wa ligi kuu Tanzania bara mzunguko wa pili kati ya YANGA SC vs KAGERA SUGAR, umechezwa leo Februari 17, katika uwanja wa Mkapa jijini Dar.. Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa sare ya ( 3 - 3)... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 282
  • @
    @hajiliparapate64843 years ago Hahahaaaaa! Utopolo bhana , penalty ya mbea city walisema alishika nje ya box na Leo wanasema ilikuwa halali jmniiiiii, hamieni chama kubwa basiiiii!!! 🐅🐅🐅🐅 Wanaomkubali mnyama wajaze like hapaaaaaa!!! 2
  • @
    @swedially49113 years ago Kama umesikia kocha mpumbavu weka like hapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 41
  • @
    @syksyk72953 years ago Mkshnda saaaf marefa hawachangii mktoa sare marefalii wanachangi eeeh?!! 1
  • @
    @paschaeltilas93693 years ago Kam Simba ananunua mechi tuuuzien na mechi ynu xx tunahtaj kombe 22
  • @
    @mkubwamasoud27763 years ago Kama mko vizuri basi ungeshinda bila makando
  • @
    @mamboeliazery81963 years ago Kwa niyonzima n kwel kwann hampagi kama wana bifu aseme
  • @
    @hamzasaidi30553 years ago Zanzibar mtashuka daraja hamuwawezi hao 3
  • @
    @shukurupazia84203 years ago Wa bongo hatuna mioyo ya kiume Liverpool kapoteza mechi 4 mfururizo Sasa ingekua yanga au Simba watu roho singewatoka mpira unapotokeo 3 pia kila timu inataka ushindi siyo kila sïkù washende Simba au yanga 12
  • @
    @noahmathew79873 years ago mbona mkishinda hamlalamiki kuwa mmebebwa yaani kila mech mnalalamika
  • @
    @ahmadjuma38163 years ago Zanzibar huku hatuwataki mshabiki gani wa mpira unasema utauwa mtu unapenda Sana timu kuliko mpira pole ndio matokeo ya mpira
  • @
    @mrliverpoolynwa76413 years ago Safi DAUDI YANGA well said,ww ndo shabiki sasa wa ukweli.YNWA 4
  • @
    @voisaclassic94603 years ago Mashabiki wa yanga wapo wa aina tatu
    1;wao ndo makocha
    2;-wanaonewa wao tu
    3;-wao ndo mashabiki
    6
  • @
    @novatusnolasco70703 years ago Masikini yani mechi ya yanga vs kagera wanaitaja simba kama sio uzwazwa ni nn 8
  • @
    @beaugosseadam68313 years ago Mtatafutana wenyewe!! Mpira wa miguu sio maneno. Ni uwanjani. Kufunga, kufungwa na droo! 11
  • @
    @salumabdalla48403 years ago Kiukweli. Hatauyo kochà nae ajielewe saingine.wachezaji wamatokeo. Anawaweka benchi au kahongwa ilitimu ifanye vibaya. Ajiangalie bwana
  • @
    @swedially49113 years ago Ustadhi Ana hamu ya kuolewa na Manyapara 1
  • @
    @daimonimbalwa29003 years ago Hata mechi ya mbeya aliye haribu kocha
  • @
    @daimonimbalwa29003 years ago Kocha mshenzi hata mbey aritujum kocha
  • @
    @andulilemwakihabha20483 years ago Utopolo kila game mshinde kwa penalty eti tunahujumiwa kwa mpira upi huo ubingwa msahau 7
  • @
    @rajabujuma69163 years ago Timu yenu mbovu brother usipaniki" 9
  • @
    @mwanyemishemweta8483 years ago Kelele nyingi lakini mpira uwanjani unaonekana anaecheza na anaebebwa anaonekana
  • @
    @onesmojustice23483 years ago Ndio maana marekani weusi hawathaminiki😀 9
  • @
    @maammudmohammad43063 years ago povu tu malalamiko fc anzisheni ligi yenu muitolee jina visit kidimbwi cup
  • @
    @drankskhally70193 years ago Msiingie na matokeo uwanjani hakuna mkono Wala mguu
  • @
    @swedially49113 years ago We Ni Nani?Na utafungwa kweli ukaolewe na Manyapara kule na midevu yako. Mpira sio ugomvi, we toa maoni yafanyiwe kazi. 7
  • @
    @khalfanifarisy30373 years ago Huyu jamaa mwenye nzura, Dini imemshinda. Sasa hivi Dini yake Yanga duh! Mtihani. Allah amuongoze 1
  • @
    @chrislameck14363 years ago Umelazimishwa we pimbi kweli nunueni na nyinyi
  • @
    @frankjoely33133 years ago Utakufa kweli we unafikiri nchi hii inaendeshwa kwa mihemko.utadundwa hadi ujinyee lete fujo uone😂😂
  • @
    @naimunaimu23123 years ago Zungmzia na ile ya Faisal na nchimbi😁😁😁😁😂😂😂
  • @
    @exaverykapiry18113 years ago Ukisema caria ni mwana Simba mbona waziri wa michezo ni Yanga mbona hatujaongea
  • @
    @benjaminenyasanga21953 years ago mmeruhusu goli tatu wenyewe alafu mnasema mmehujumiwa.... acheni uzuzu.
    simply fact ni kwamba kaze ndio amezingua ktk uchaguzi wa kikosi, ukiona mechi mnategemea matuta kushinda bhasii mshaanza kuchujaa
  • @
    @wilsonkimaro63753 years ago Simba inakujaje kwenye kidimbwi chenu waruwaru hii
  • @
    @siwajibutweve96853 years ago aoooooh matako tuuuuuuuu smb baba. laooooooo wambireee
  • @
    @fadhilimussa78413 years ago Mm nisimba ila wachezaj yanga wapunguze hasra wakifungwa hupotea kabisa nahao wagen hakuna kitu mfungaji Bora kaseke du
  • @
    @paulmasanja70553 years ago Senge kweli hili jamaa linalilia nini sijui mpk watoto wanaona dingi linalia na bado mtakufaa simba nguvu moja 4
  • @
    @swabriomar30413 years ago hawa jamaa kweli wamechanganyikiwa mpaka wanava jerzy ya power dynamos kutoka zambia naona watavaa za al ahly next time
  • @
    @rabsontryphon92543 years ago Bado mtalia sana vyura wa jangwan si unajua tena masika vyura kulia ndo mda wake 😄😄😄😄 3
  • @
    @hidayahassan80143 years ago Mwl badilika kama sivyo uwanjani mtaenda benchi la ufundi nawachezaji wenu ndomtaenda uwanjani😔😔 1
  • @
    @drankskhally70193 years ago Mapofu yanawatoka poleni hakuna ubigwa tena
  • @
    @josephgomalo413 years ago Penalti ya Kisila haikuwa halali.. yule beki wa kagera aliweka mkono kwenye mwili.. hakuinua mkono na alikuwa anageuka mpira ulipompiga.. kwa hiyo ni ball to hand.. na sio hand to ball .. hakuunawa mpira.. kwa hiyo siku zote Yanga wanapolaumu marefa waangalie na pale refa anapopitiwa na sheria akawazawadia wao pia.. penalti ya Kisila haikuwa halali pia! ... 2
  • @
    @sadikingonyani3153 years ago MANARA ALISEMA MTAKUJA KUPIGANA SIKU SI NYINGI.. HAO WACHEZAJI MLIWAPOKEA KAMA WAFARUME
  • @
    @mwanahamisikijangwa34603 years ago Mmeanza 😃😃lkn si mnaongoza ligi jamani
  • @
    @benjaminpatrick63643 years ago Huwezii fnyaaa chochoteee kaleee family ukooo 1
  • @
    @lennykiganga47633 years ago Af simba kahusikaj hapo aje nyie mngekua simba iliyofungw mechi mbili mnvekua na hali gan. msitafute huruma ya marefa ban mpir hauchezw chumban unachezw kweny pitch kil mtu anaona hata firsthalf mlizidiw af mnalialia nn cha ajabu midume madem wapo kimy ukion unalalamika kutafuta huruma ya refa au kulia uwanjan kulik hat dem wak ww sio mwanaume bana ww ni pisi kali ... 1
  • @
    @isackmwaluko84973 years ago Kosa ni la kocha Bado anajaribu wachezaji ligi inaenda Kwisha..hana kikosi cha kwanza mpaka Leo..mkoko anakaa benchi zawadi mauya anaanza...wakina nhimbi hafungagi huyo hata ukiondoa gorikipa..ubwege mtupu
  • @
    @josepheleteuskumburu64033 years ago Haha inawauma ila una bidi mzoee sima dam
  • @
    @ahmedadan19153 years ago Hlf kama simba hana nunua mchezo inamaana hata hile mechi ya vita fc ya Congo walinunua wacheni ujinga mmefilisika akili
  • @
    @isharagerlad23113 years ago Kocha kaze anataka kushindwa kazi hawezi kupanga kikosi anavyotaka yeye Mimi naona achunguzwe nahisi anakua amebeti!!! Kwenye Vita huezi kutanguliza Mgambo ukitegemea ushindi!! Inauma Sana Mimi mpaka leo Sina raha moyoni .ushabiki shida unawezaje kukosa HATA ham ya vyote!!! ...
  • @
    @sundaysindole19783 years ago Tutahitaji ushahidi wa huo muamala wa M'pesa unaodai kuwa umefanyika. Wakuue hiyo timu ya baba ako? 2
  • @
    @andulilemwakihabha20483 years ago Utopolo itabidi mshukuru hata iyo sare Mana kipindi Cha kwanza utopolo mmecheza nusu uwanja 🤣🤣💪🏻 2
  • @
    @christophermachonchory45003 years ago Maskini yanga kwakweli mnasikitisha sasa mnalilia penalty, mara kuna maelekezo ujinga ukiwatoka, mtajua mpira unamatokeo matatu. 1
  • @
    @mayaally25123 years ago Pumbavu fungeni magoli penalt penalty mbona wenzenu wamewapiga magoli 3 yotr safi.CHEZENI MPIRA WACHEZI VISINGIZIO 😀😀😀😀 1
  • @
    @davidgasper87943 years ago Shida ya nyiee yanga kila mtu anajua mpira
  • @
    @mandeladaimu96833 years ago Hawa jamaa wanahamasisha vurugu Afande Mambosasa unawasikia wachochezi hawa,
  • @
    @rehemakisalambi31953 years ago Mkishinda hamuongei ila yanga hawataki matokeo yanayotokea pambaneni na hali yanu 1
  • @
    @onesmojustice23483 years ago Shida iko ndani yanga hakuna cha refa wala nini wachezaji hawako kabisa mchezoni kuna kitu hapa. 1
  • @
    @nedkatunge57023 years ago Washabiki wa yanga wote wapelekwe mirembe wakapimwe akili si bure
  • @
    @mchiziboti75943 years ago Yanii namtapata ugonjwa wa moyo sana mwaka huu,mtaumia vizuri mkipigwa mechi ijayo na mtibwa,kesho tunampiga mtu,tunawapumulia kisogo 2
  • @
    @dismasjohnas59703 years ago Poleni sana yanga maana hamjui mlitendalo
  • @
    @josephvenus32593 years ago 😂😂😂😂 Utopolooo fc mtakufa na pressure mwaka huu 2
  • @
    @onesmojustice23483 years ago Ila majeneza ushabiki wako mi siwezi mpaka unalia ongea kiume wewe timu ibadilike 1
  • @
    @mrliverpoolynwa76413 years ago Huyu bwege kweli cjui wa wapi,ulaya haangaliagi mechi.YNWA 1
  • @
    @lansonmlehele72483 years ago Achen gubu ndio maana kocha wenu mzungu aliwatukana matusi ya kibaguzi 1
  • @
    @pambasr23453 years ago Jamaa wanafaa kukodiwa misibani maana sinkwa vilio hivi?