المدة الزمنية 2:16:15

MHE. RAIS SAMIA AKIFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA KUJADILI HALI YA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI NCHINI

287 مشاهدة
0
3
تم نشره في 2021/12/15

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Hali ya Demokrasia ya Vyama Vingi Nchini utakaofanyika kayika Ukumbi wa Hazina, Jijini Dodoma leo tarehe 15 Desemba, 2021

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 3