المدة الزمنية 18:1

GLOBAL HABARI OCT 13: WAZIRI JAFO ATOA AGIZO MIKOA MITATU UANDIKISHAJI WAPIGA KURA

بواسطة Global TV Online
1 301 مشاهدة
0
7
تم نشره في 2019/10/13

GLOBAL HABARI OCT 13: GLOBAL HABARI OCT 13: WAZIRI JAFO ATOA AGIZO MIKOA MITATU UANDIKISHAJI WAPIGA KURA Waziri wa nchi ofisi ya rais tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) Suleiman Jaffo, Ameitaka Mikoa Ya Kilimanjaro, Arusha Na Tabora, Kuhakikisha Wanaongeza Juhudi katika zoezi la uandikishaji wapiga kura, ili kufikia malengo ya ofisi ya taifa ya takwimu ya kuandikisha watanzania zaidi ya milioni 26 kwaajili ya uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa. Waziri Jaffo ameeleza hayo wakati akitembelea vituo vya uandikishaji katika Mkoa wa Morogoro ambapo amesema kuwa ni watu milioni 11 tu nchi nzima, ndio walioandikishwa mpaka sasa huku mikoa hiyo ikisuasua katika zoezi hilo hali itakayosababisha kutokufikia malengo ya ofisi ya takwimu. Aidha mkuu wa mkoa wa Morogoro Lowata Olesanale ametaja idadi ya wananchi ambao wameshajiandikisha na matarajio ya kuandikisha kwa mkoa mzima. Zoezi la uandikishaji wapiga kura litafikia tamati Jumatatu ya tarehe 14.oct.2019 kuanzia saa mbili asubuh mpaka saa 12 jioni na kufatia kwa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika 24.Nov.2019 #GLOBALHABARI YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) --------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: /playlist?list ... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: /playlist?list ... GLOBAL RADIO TV: /playlist?list ... EXCLUSIVE INTERVIEWS: /playlist?li

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1