Khutba ya Eid ilitolewa na Shariif Abdulqadir leo Tarehe 20/7/2021 katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Jijini Dar es Salaam Tanzania , Mada ikielezea maisha ya Nabii Ibrahim na familia yake, ni maisha gani fatilia mada hii hadi mwisho upate kuelimika, na tuomba usambaze ujumbe huu na Inshaallah Allah atawalipeni .