المدة الزمنية 5:9

Wamunyinyi na Eseli wapata chama kipya cha kukiongoza- DAP-K

بواسطة West Tv Kenya
108 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2021/12/14

Mbunge wa Kanduyi na Mwenzake wa Tongaren Dkt Eseli Simiyu ndio viongozi rasmi wa chama cha DAP-K baada yao kukigura chama cha Ford kenya ambacho wanadai kimekuwa chama cha kibinafsi cha kinara wa sasa wa chama hicho Moses Wetangula

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0