المدة الزمنية 4:50

Fungueni video hii umwangalie pastor imani mwasunda akiimba nyimbo yake kwenye ibada ya casfeta udsm

193 مشاهدة
0
7
تم نشره في 2021/07/12

naitwa mchungaji imani mwasunda fungueni video hii yangu nilialikwa kuimba kwenye ibada ya jumapili ya wanafunzi wa chuo Cha maji chuo kikuu Cha daressalam katika kanisa la Calvary assemblies of God ubungo msewe kibo daressalam Tanzania kwa mchungaji assanterabi massawe kiongozi wa kanisa niliimba nyimbo inaitwa nimepewa nguvu na Mungu subscribe channel yangu ya YouTube kwa wingi na u comment video zangu za YouTube Mimi nipo tayari kwa mialiko ya kuimba nipigie simu 0778116491 kwa mwaliko wa kuimba na kuhubiri nipo tayari karibuni Sana kwa anayetaka kunialika kuimba sehemu mbalimbali

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1