المدة الزمنية 4:15

DK. GWAJIMA Aibuka na Hili Jipya Kwenye Madawa Keko

بواسطة Eddy Nevo
168 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2020/12/29

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, ameridhishwa na uzalishaji wa dawa katika kiwanda cha dawa cha Keko Pharmaceutical na kusema kuwa kiwanda hicho kimeanza kutekeleza ilani ya Chama Cha Mapinduzi. Amesema hayo baada ya kufanya ziara kiwandani hapo mapema leo ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi kwenye Bohari ya Dawa (MSD) na kutembelea maeneo mbalimbali ya kiwanda hicho na kuona jinsi uzalishaji wa dawa unavyoendelea huku katika kipindi cha miezi miwili (Oktoba mpaka Disemba) kikiwa kimetengeneza vidonge vya Paracetamol Milioni 25.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0