المدة الزمنية 7:57

Jinsi ya Kung'arisha picha kwa kutumia Adobe Photoshop

بواسطة Richstar
38 666 مشاهدة
0
265
تم نشره في 2016/08/27

Video hii inakupa muongozo wa namna gani unaweza kuingarisha picha yako kwa kutumia Adobe Photoshop. Mfano kuondoa mabaka mabaka usoni, kufuta chunusi n.k Una swali au maoni Usisite kuacha ujumbe wako katika sehemu ya comments.Ukishare video hii utakuwa umenilipa kitu cha hamani zaidi Subcribe My Youtube channel. -~-~~-~~~-~~-~- Please watch: "Jinsi ya Kutumia Photoshop CS6 kwa mara ya kwanza(Beginners) SEHEMU YA 1" /watch/QNXod8VmgEBmo -~-~~-~~~-~~-~-

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 40
  • @
    @witnessmallya5114العام الماضي Wao somo zuri sana, Asante sana Rich , ulete zaidi na zaidi ❤
  • @
    @barikimedia201منذ 4 سنوات Ahsante kaka kwa kunijenga..yaani nilikuwa zero kabisa..ila kwa sasa niko mbali kiasi
  • @
    @Songeafinest210العام الماضي bro naomb nisaidie jins ya kuchonga shape ya kweny adobe
  • @
    @enoshyalex4771منذ 2 سنوات Iyo opshn uliyo tumea kwangu mba haipo bro au adob zina tofautian
  • @
    @LyonWalker_منذ 7 سنوات now inabid uandae somo juu ya advance makeup and retouch deep ndg
  • @
    @emanuelyjeremia7098قبل 11 أشهر Asante Sana je ni nnjia gani hutumika mfano maharusi kuwavalisha mavazi ya harusi kwa kutumia Photoshop kwakiwa wamepiga picha Kila mmoja kivyake
  • @
    @patrickmwakisyala4877منذ 4 سنوات hyo shm pia kwangu siionii natumia cs6 hamna hyo option
  • @
    @djmegatumbotz7892منذ 6 سنوات noma me ni mmoja wa wanafunzi wako kwa hii video nimekuelewa
  • @
    @nuwfocuspictures6416منذ 7 سنوات Habari kaka tunaomba Maelezo kuhusu kuweka colour Na kun garish a kupitia adobe premier au after effect
  • @
    @siwemarashid1954منذ 7 سنوات kaka una VIP mawasiliano maana daah mala kibao nakucheki
  • @
    @pmctvdsm1157منذ 7 سنوات Mimi naomba msaada wa kudizaini cover move nimependa sana uwezo wako Mkubwa sana
  • @
    @methodnishimwe6044منذ 7 سنوات I mean you are speaking two languages and u know that there is some people who don't know english how they can understand u when u are not speaking Swahili only?????
  • @
    @methodnishimwe6044منذ 7 سنوات Bro why you don't trust your native langauge?????????????????????????????????????????????????????????????????????????
  • @
    @swapterkisesa5404منذ 5 سنوات Kaka naomba namba yako plz nicheki whatsup 0672317349
  • @
    @zainabuyusuf7730منذ 4 سنوات Mkuu unaeza kutumia simu kung'arisha picha kwa kutumia simu??