المدة الزمنية 1:23

IBADA NI NJIA YA KWANZA YA KUFANIKIWA

بواسطة Ezden Jumanne
504 مشاهدة
0
13
تم نشره في 2021/01/21

UJANA ni umri ambao ni muhimu sana kufanya ibada sababu huu ndio wakati una nguvu za kuweza kufanya mengi sana. Lakini kinachosikitisha ni kwamba vijana wengi hawana habari na ibada na wengi kuweka azma kuanza kuifanya pindi umri wao ukienda, lakini hatuna uhakika wa kufika kesho kwahiyo la leo lifanyike leo. Anza kufanya ibada ndugu yangu sababu hata ukiufikia huo uzee hutaweza kushiriki kama vijana walivyowepesi katika mengi...fanya leo. . Usiache kutembelea "SUCCESS PATH NETWORK" kuona masomo marefu zaidi toka kwa Ezden Jumanne kwa kuclick hapa LINK: /ezdenjumanne INSTAGRAM: http://instagram.com/ezdenjumanne TWITTER: : http://twitter.com/ezdenjumanne FACEBOOK: http://facebook.com/ezdenjumanne . . #Ezden #Short #Clips

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 3