المدة الزمنية 10:11

NI HISTORIA: Aston Villa wamtambulisha rasmi Samatta kama mchezaji wao mpya, TZ yalipuka kwa FURAHA

بواسطة Simulizi Na Sauti
25 166 مشاهدة
0
657
تم نشره في 2020/01/21

Historia imeandikwa. Mbwana Samatta amekuwa Mtanzania wa kwanza kucheza ligi kuu ya England baada ya kusajiliwa na klabu ya Aston Villa kwa mkataba wa miaka minne na nusu

الفئة

الكلمات

عرض المزيد

تعليقات - 145