المدة الزمنية 4:13

Maisha ya Rais masikini kuliko wote duniani

بواسطة Daily News Digital
16 651 مشاهدة
0
68
تم نشره في 2018/06/20

Rais mstaafu Jose Alberto Mujica Cordano maarufu kama Mujica au Pepe aliyeiongoza nchi ya Uruguay kuanzia mwaka 2010-2015 ndiye anayetajwa kuwa mkuu wa nchi masikini zaidi kutokea duniani. Daily News Digital inakuletea kwa undani maisha ya kiongozi huyo na mali anazomiliki kiasi cha kuonekana kuwa ndiye masikini zaidi kuwahi kutawala taifa huru.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 11