المدة الزمنية 7:45

Biteko aruhusu uchimbaji katika machimbo ya Shilalo Misungwi

بواسطة BMG Online TV
506 مشاهدة
0
3
تم نشره في 2019/10/18

Waziri wa Madini, Doto Biteko Oktoba 17, 2019 ameruhusu shughuli za uchimbaji dhahabu kuendelea katika machimbo ya Shilalo yaliyopo katika Wilaya Misungwi mkoani Mwanza baada ya kufungwa kwa muda kutokana na mvutano uliokuwepo. Oktoba 07, 2019 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella alisitisha uchimbaji dhahabu katika maduara 38 kati 57 ili kutafuta mwafaka wa mgogoro wa umiliki wa ardhi uliokuwepo ambapo baada ya maamuzi hayo, Serikali itaandaa utaratibu mzuri wa kusimamia machimbo hayo ili pande zote zinufaike.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0