المدة الزمنية 5500

SHUHUDIA BINADAMU ALIVYOPANDIKIZWA FIGO YA NGURUWE

بواسطة ERGON ELLY
91 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2021/10/22

Wanasayansi kutoka Marekani wamefanikiwa majaribio ya kupandikiza Figo ya Nguruwe kwa Binadamu na kugundua kuwa kiungo hicho kinawezafanya kazi kikamilifu. Wataalamu hao kutoka N.Y.U. Langone Health, Taasisi ya kupandikiza Figo huko Manhattan wanasema walitoa Figo inayofanya kazi kwa Nguruwe kisha ikabadilishiwa vinasaba na kuipandikiza kwa Mwanadamu. Hatua hiyo ya mafanikio inaweza kuleta matumaini kwa wagonjwa na kuwa chanzo endelevu na mbadala kwenye upatikanaji wa viungo hivyo.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0