المدة الزمنية 12:39

Historia Ya WATANZANIA Waliopigana Vita Ya Dunia/ INASIKITISHA

بواسطة Global TV Online
155 571 مشاهدة
0
1.3 K
تم نشره في 2019/08/02

Historia Ya WATANZANIA Waliopigana Vita Ya Dunia/ INASIKITISHA! Vijana kumi na tano alfu kutoka Tanganyika, walikamatwa kwa nguvu kwenda kupigana vita ya pili ya dunia ili kuikomboa uingereza dhidi ya Adolf Hitler, vijana wakampoteza Hitler, waingereza wakapiga vigelegele, vijana wa kazi wakarudi nyumbani na majina ya kishujaa kufa maskini, sasa ni wazee, hawana nguvu tena, hawaoni vizuri,hawasikii vizuri, hawana kumbukumbu nzuri, hawana meno, wengi wamekufa na huzuni moyoni, hasira kichwani, ukata mifukoni, wamebaki 400 kati ya 13,000 waliorudi, mwenye umri mdogo ana miaka 92, wengi hatujui walipo kwa sababu hatuijui historia yetu, uingereza haijui walipo kwa sababu shukurani ya punda ni mateke. Wakati wanasagwa kwenda vitani aliyejifanya kukaidi alitupwa jela miezi sita na viboko juu, alivyotoka jela aliulizwa kuchagua kwenda vitani au kurudi jela tena miezi sita, wote walichagua kwenda vitani kupigana vita ambavyo havikuwahusu. Tatizo la wazungu bwana, wao wakizinguana wanasema ni vita ya dunia na kutulazimisha tukawasaidie, sisi tukizinguana wanasema ni vita vya ukabira na kuja kutuuzia silaha tuuane wao wachume kwa sababu kwenye vurugu pana ulaji. #vitayapiliyadunia #globaltv #historiazaviongozi #ananiasedgar /playlist?list ... /watch/f-X1N-1 ... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 273
  • @
    @adriandema5281منذ 5 سنوات AFRICA.kaka ananias edga mpaka hapa ulishanijuza mengi sana kuhisu africa yetu hii moja .Na unaendelea kinijengea uzalendo zaidi.Big up sana endelea ndugu id="hidden1" class="buttons"> yangu kutafuta hostoria zenye mashiko kama hizi.Watu wengi watashabikia maajabu Kuliko mambo haya ya msingi.afrika ni moja nasisi tinaimani miaka ya 2040 tutaungana kabisa kiwa nchi moja yenye jeshi, serikali, pesa aina moja na raisi mmoja ili tuwazidi uchumi hao majambazi wakizungu na wachawi wakubwa ....وسعت 30
  • @
    @josephatkashendwa1177منذ 5 سنوات My brother from another mother I really admire u, kwa hili bro hili lifanyike uwasilishwe walaka maalumu kwenda kwa raisi, na nakala nyingine kuwasilishwa id="hidden2" class="buttons"> mahakama kuu Tanzania kuiambia serikali yetu ya TZ iandae hati ya mashtaka ya madai dhidi ya serikali ya Uingereza, lakini bro kama ujuavyo hulika za nchi zetu za Afrika kwa viongozi wetu kutaka kuiba kila kitu, hili ni angalizo vinginevyo hawa wazee hawa hawatopata kitu endapo fidia itatoka. ....وسعت 1
  • @
    @henryhenry8150منذ 4 سنوات The sound good##
    Big up my brother from another mother
  • @
    @hermanstephenntabahungu5310منذ 5 سنوات Tukadai fidia.
    Uishi miaka mingi aisee
    Njia pekee ya kumsupport huyu brother from another mother ni kuhakikisha tunaangalia kila tangazo id="hidden3" class="buttons"> linalojitokeza hadi mwisho(kazi anayoifanya inastahili support yangu na yako).
    God bless you my brother from another mother.
    ....وسعت 22
  • @
    @allyderossi9742منذ 5 سنوات ANANIAS hv ww ni binaadamu wa kawaida kweli??!!na hii fani kabla ya kuisomea hukuoteshwa ww?!,,Mana hata kama story itakuwa ni mbaya vp kwa unavyoifafanuwa id="hidden4" class="buttons"> haaaa utaipenda 2uuuu,, Mshukuru sana MWENYEZI WA YOTE hii ni zawadi kakupa toka kwake ya ucmulizi hongera sanaaa nimekuelewa mwanzo mwisho na ALLAH akujaalie uzd kupaa kimataifa zaid IN-SHA ALLAH. ....وسعت 32
  • @
    @mauwamwilongelwamlongelwa9364منذ 4 سنوات Nikweli kabisa mungu awaongoze na kuwapa maarifa mengi na kufikia kuudai fidia ya kuikomboa afrika 1
  • @
    @rasihamsangi8084منذ 5 سنوات Mungu ibariki TANZANIA na Afrika nzima, Mungu akubariki mtangazaji mahiri,tutabaki kileleni juu mbinguni chii nawapenda Sana ndugu zetu Mungu ametujalia kila la heri na Baraka tuwe na imani na ndugu zetu❤0 4
  • @
    @heraldloshi1864منذ 5 سنوات This is very true.Nili muonaga Mjomba ake mama yangu Mzazi kule Arusha.Alikuaga ana sonono,muda wote.Kama vile ka changanyikiwa.Nakumbuka watoto kijijini id="hidden6" class="buttons"> walimkatia jina la msema pekee.Kumbe ndo kile wataalam wa maswala ya kivita,wanakiita post war trauma.Yaani sonono la ki vita. ....وسعت 18
  • @
    @deadcrushمنذ 5 سنوات Sauti ya muziki wako wa nyuma umenikinaisha kusikiliza simulizi yako nzuri sana. Itapendeza sana uki ubadiliasha huo muziki (soundtrack) katika simulizi zako zijazo. Asante sana Kaka. 2
  • @
    @yusufuheri6524العام الماضي Asante sana my brother from another mother
  • @
    @godfreynyansira8227منذ 5 سنوات Nakupata vzuri sana, ,,sichoki kukufatilia, ,najifunza mengi 4
  • @
    @mulirohilary209منذ 5 سنوات Mr Denis u do fantastic work ur the best for me asanteni kwa research nzuli 2
  • @
    @habibaramadhani436منذ 5 سنوات Really ukiwa unatakaza waniacha hoi nice well done 1
  • @
    @chidiomari.65منذ 5 سنوات Mzee unajua History,Safi Sana Mungu akutunze ili uzidi kutufahamisha mengi tusiyoyajua.
  • @
    @mjubaمنذ 5 سنوات Unaongeaga vitu vyenye madini sana bro.Nakukubali
    nakuaminia shughulika na hili
    5
  • @
    @nzitogondwe9976منذ 4 سنوات Babu yangu mzee athumani mwahenya alie kua anaishi tukuyu mwakaleli alifwatilia sana hizo pesa mpaka amekufa hatujaona lolote ila waliwahi kuja kijijini id="hidden9" class="buttons"> kuchukua thumumn za thaman walisema kielezo chao ni zile pesa za thaman walikua wanawapa na waliahidi kurud kuwapa chochote lkn mpaka sahiz kimya babu yangu alisimulia sana na alifwatilia sana lkn hakupata hata kidogo ....وسعت 1
  • @
    @aminaomary5567منذ 2 سنوات Mpangaze yaan wewe unatisha sana.❤❤❤❤❤
  • @
    @magnust.camingsoon9669منذ 5 سنوات Salute kwa hio story, hata wajerumani tunawadai Br. 1
  • @
    @msemwawalter837منذ 5 سنوات Napenda sana simulizi za huyu bwana, zina flow nzuri inayoeleweka kwa urahisi.
    Pongezi sana, umebarikiwa.
    1
  • @
    @djuninhoramisos2453منذ 5 سنوات Be blessed saana Ananias bro na global tv. naelimika mengi kwa tafsiri ya ufaswaha na burudani hadi akili kuwa makini pindi unapo elezea 1
  • @
    @danielmseti1277منذ 5 سنوات asante san bro huko saw mungu akubalki kwa kuwakumbuka wazee wet.
  • @
    @BenMula311منذ 5 سنوات Wapo sahii kabisa inabidi wadaiwe kweli 2
  • @
    @giftnyakipande1253منذ 5 سنوات Africa tuna historia kubwa sanaa ila hatuna utunzaji wa kumbukumbu historia inapotea ivi dah too bad.wazee wetu watetewe jamn
  • @
    @a04yuphilipo5منذ 5 سنوات Asante sana kaka kwa kunijuza na niko p1 na ww
  • @
    @martinesizya234منذ 5 سنوات Duh! Ananiah unatisha, nimekuelewa sana! 1
  • @
    @Abubakar-po4fnمنذ 5 سنوات Daah inasikitisha sana , wazee wetu wamekufa na wengne wapo mitaan wako hoi, namuona mzee mmoja ktk picha namfaham sana sasahv Yuko kama kichaa pamoja na umr lakn huenda hili pia n sabab ya hili janga.
  • @
    @merdaniely4775منذ 5 سنوات Duuuh Leo ndo nimekusikiliza vzr kaka, upo vizuriiii mnoooo! Big up!!!!! 1
  • @
    @franknantalila1588منذ 4 سنوات Ukisoma vizuri historia wazungu hawakufaa kuwa ata hapa Africa ni wapuuzi sana
  • @
    @mirajrojas2962منذ 5 سنوات Tunaita TALANTA au talent ambayo nikutafsiri tofauti kabisa 1
  • @
    @micamathew6433منذ 5 سنوات Twendeni tukadai fidia yetu..nadhani umeona jinsi Tanganyika ilivyokuwa na nguvu kipindi kile cha vita vya pili vya dunia..hiyo ni kwasababu ya umoja na id="hidden11" class="buttons"> umoja huu ni lugha ya kiswahili.. Kiswahili kimetuunganisha sana..kumbe lugha yetu ni lugha kubwa sana. Ahsante sana.lkn ukitaka kujua kwamba wazungu wana ubaguzi bac angalia ktk movie mbalimbali za kuelezea vita vya pili vya dunia, utaona picha ni za wazungu tu wala hapana mwafrica hata moja..wazungu wana wivu sana..hasahasa wa kipindi hicho cha nyuma. Tusiwahukumu wala kuwanyooshea vidole..Mungu atatulipa..vimbunga na radi zinazotokea huko kwao ni jibu tosha..na bado wataendelea kula adhabu na hata kuwadhuru. Hakika watakiona cha moto. ....وسعت
  • @
    @ommyathumani7264منذ 5 سنوات Huwa nikisikiliza tarifa zako huwa naingiwa na huzuni sana hasa sisi wa Africa 1
  • @
    @samwelmadaraka1521منذ 5 سنوات Kweli walitexeka xana ila selikali yetu ndohivyo polen wazee we2 mungu atawalipia 1
  • @
    @zubedasaid5962منذ 5 سنوات Asanteni sana Global TV, napenda kuleta maombi yangu mtuletee history ya Kasanga Tumbo, wengi wetu tumesikia tu story za vijiweni kuwa aliwekwa kuzuizini id="hidden12" class="buttons"> asitke nje ya mji anapotoka sasa tupeni habari walikwaruzana vipi na hayati Nyerere. ....وسعت
  • @
    @iginasihuseni994منذ 5 سنوات Hongera msimlizi jitihada gani tuchukue ilitufikie maamzi haya hata babu zangu watatu walikua huko vitani
  • @
    @salumkhamis7818منذ 5 سنوات Umetisha Ananias,marehemu mnamzika kwa mbwembwe wakati alikufa kwa kukosa kidonge cha 500 duh uwezo mkubwa wa kujieleza
  • @
    @mtatiromgeka7270منذ 4 سنوات Kwa hili ni kweli kwa histolia hio babu yng alikua ruban kwenye vita hio . Dah jamn
  • @
    @ujanjamedia7813منذ 5 سنوات Nakukubali sana sanaaa mzeeee baba wazungu sio watu wanatuuwa kila kukicha tuludi kwenye asili yetu kama china 1
  • @
    @nestomuna350منذ 5 سنوات kweli kabisa.tunathamini vingi vingine vya kweli vimesahaulika.hivi alionwa alie torosha ndege kutoka kenya. hawa hawajulikani 4
  • @
    @saidhamisi3468منذ 5 سنوات daaah wee mtu mungu akuweke sana duniani mana unanikosha roho sana mungu akubaliki kaka Japo watu wenyewe unaetwambia yanapitauku yanatokea uku bule kabisa!!! 5
  • @
    @dmxtrezer9849منذ 5 سنوات yani niuzuni sana kila siku mmi uwa nasema ningelikua na uwezo ningetetea wanyonge wote dunia ningepunish kila mtu mwenye anatesa wanyonge na kupatia wanyonge aki yao 6
  • @
    @edwardmasanja4456منذ 5 سنوات Amahakika inaumiza sana! Imebaki kuweka siku ya kumbukumbu ya mashujaa tu baada ya hapo hakuna anaewakumbuka 1
  • @
    @hamadali5062منذ 5 سنوات Ni history nzuri Sana. Kuna mzee tulikuwa tunaishi nae yeye alikuwa katika jeshi la wingeleza alipelekwa mpaka palestina. Sasa wacha tuulizane nikitu gani id="hidden15" class="buttons"> kilicho tokea palestina? Waingeleza waliwatoa wa palestina wengi katika Inchi Yao ya palestina na kuwaleta wayahudi walikuwapo urope na kuwapa nchi ya palestina. Kwahiyo ni historiya nzuri Sana kuona kuwa wapo Wana jeshi kutoka tanganjika walio shiliki kufanya dhurma ya kumsaidia mwingeleza katika kumpokonya nchi ya palestina. ....وسعت
  • @
    @chuwaloonlinetv6672منذ 5 سنوات Acha leo nami nicoment kwan huwa nafuatilia sana hizi makala g
  • @
    @lamecksanga9365منذ 5 سنوات wazeeee hawaaa niiii hatariii wapewew heshimaaa tu
  • @
    @MaleFuraha-go8jvقبل 11 أشهر iyooo nimeikubali vp mimi niwakwanza kudai haki zzetu
  • @
    @allysamba1695منذ 5 سنوات Mzazi tukadai fdia zetu bana.bulaza ediga mie sikupingi habali zako
  • @
    @japhetisraelsmafie997منذ 5 سنوات Broo uko sawa sema tu tukienda tu kuidai ndo vita ya utatu mtakatifu inatokea
  • @
    @ommyomhs9367منذ 4 سنوات Ananiasi Edgar nawezaje kupata update za story zako zaidi???
  • @
    @keyakeya8911منذ 5 سنوات Duuuh yani hata babu yangu alipigana vita hii Lakin hakupata kitu chochote 2