المدة الزمنية 31:38

SEMINA- (11-)NITAPATA ZAIDI YA NINACHOSTAHILI-DAY 1

بواسطة Minister Mocky
1 350 مشاهدة
0
55
تم نشره في 2021/02/11

Praise the Lord sweethearts, Tunamshukuru Mungu kwa nafasi nyingine aliyotupa tena mwezi huu,ya kuwa na semina ya online; Yenye kichwa kinachosema *NITAPATA ZAIDI YA NINACHOSTAHILI* Neno la Mungu linasema "Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu;” ‭‭Efe‬ ‭3:20‬ ‭SUV‬‬ Maana yake Mungu ana uwezo wa kutupa zaidi ya tunachoomba na kuwaza,zaidi ya tunachodhani ni haki yetu na tunastahili, Tuungane pamoja tujifunze sawa na Roho Mt anavyotuongoza leo kwenye siku yetu ya kwanza.. Katika hii semina,MUNGU ATATUJIBU ZAIDI YA TUNACHOSTAHILI...IN JESUS NAME...AMEN Min Mocky.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 12