المدة الزمنية 1:51

RATIBA YA BUNGE YABADILIKA

بواسطة Alltrendstz
50 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2020/05/18

RATIBA YA BUNGE YABADILIKA Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai ametangaza mabadiliko ya ratiba ya shughuli za Bunge la 11 ambapo bajeti kuu ya serikali itasomwa tarehe 11 Juni 2020 na shughuli za Bunge zitamalizika Juni 19, 2020.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0