المدة الزمنية 6:10

KISA CHA AL-SHABAAB KUSHAMBULIA KENYA

بواسطة POA TV
66 686 مشاهدة
0
208
تم نشره في 2019/01/19

Kundi la wapiganaji la al-shabab linakabiliana na serikali inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa nchini Somalia na limefanya misururu ya mshambulizi katika eneo zima. Kundi hilo linalohusishwa na al-Qaeda limefurushwa katika miji mingi lililodhibiti lakini linasalia kuwa hatari. Neno al-Shabab linamaanisha vijana kwa lugha ya kiarabu. Lilijitokeza kutokana na kundi lenye ititakadi kali la Muungano wa mahakama za kiislamu nchini Somali ambalo lilikuwa likidhibiti mji wa Mogadishu 2006, kabla ya kufurushwa na vikosi vya Ethiopia. Kuna ripoti kadhaa za wapiganaji wa Jihad wa kigeni wanaoelekea Somalia kusaidia al-Shabab, kutoka mataifa jirani pamoja na Marekani na Ulaya XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX Pakua APP YA POA TV kujionea movies mbalimbali pamoja na LIVE TV, RADIO lakini pia bila kusahau kutazama videos mbalimbali zikiwemo HABARI, MICHEZO na BURUDANI, COMEDY, TAMTHILIA pamoja na FILAMU

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 25