المدة الزمنية 2:49

Jopo la IEBC kuanza mchakato wa kuwatafuta makamishna - DIRA YA HOPE TV

بواسطة Hope TV Kenya
151 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2021/04/30

Jopo la kuwahoji na kuteua wanaotaka kuwa makamishna katika tume ya uchaguzi ya IEBC tayari limeanza kazi baada ya kuapishwa Jumatano wiki hii. Jopo hilo linaloongozwa na Daktari Elizabeth Muli, kuanzia Jumatatu linatarajiwa kupokea maombi ya kazi kutoka kwa wakenya baada ya kuweka wazi tangazo la kazi kwa wakenya kupitia gazeti rasmi la serikali tarehe moja Mei. Ripoti yake Alice Diana Follow us on: Facebook: https://facebook.com/HopeTVKenya Twitter: https://twitter.com/HopeTV_KE Instagram: https://instagram.com/HopeTV_KE

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0