المدة الزمنية 3:6

TAZAMA | MAAGIZO YA MAKAMU WA RAIS DK MPANGO BAADA YA KUKUTANA NA VIONGOZI WA WABAPTIST

بواسطة Daily News Digital
1 277 مشاهدة
0
9
تم نشره في 2021/12/21

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 21 desemba 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wakuu wa kanisa la Wabaptist Tanzania wakiongozwa na Askofu Mkuu Anorld Manase Molel, mazungumzo yaliofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Katika mazungumzo hayo Makamu wa Rais amewashukuru viongozi pamoja na waumini wote wa kanisa hilo kwa kuendelea kuliombea taifa katika kudumisha amani, umoja na mshikamano. Amesema jamii yeyote yenye maadili mema na uzalendo inatokana na mchango mkubwa unaotolewa na viongozi wa dini hapa nchini. Amesema kanisa la Baptist limekuwa na mchango mkubwa katika kushirikiana na serikali kutoa huduma za kijamii ikiwemo elimu na afya hivyo amewaasa viongozi hao kuendelea kutoa huduma hizo ikiwemo kufungua upya chuo kikuu walichokuwa wanakimiliki hapo awali cha Mount Meru. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: https://www.facebook.com/Spotileo-176 ... HabariLeo: https://www.facebook.com/habarileo/ DailyNews: https://www.facebook.com/dailynewstz/ INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig ... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid ... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 3