المدة الزمنية 17:34

Jinsi ya Kutengeneza Beat ya Anjella ft Harmonize kama prod by Abbah ( fl studio tutorial )

بواسطة Aroncademy
2 174 مشاهدة
0
42
تم نشره في 2021/03/15

Katika hii video utajifunza jinsi ya kutengeneza beat ya anjella kutoka konde gang akiwa ameshirikiana na Harmonize kwenye wimbo unao itwa kama ulio tengenezwa na Abbah process katika studio za Abbah Music pia utajifunza mbinu mbali mbali zinazo tumika Kutengeneza Beat za bongo flava pamoja na jinsi ya kudesign sound ili kuweza kupata sound inayo endana na beat ulio itengeneza WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/DXIkeyPjvCJCPrFylDs3h9 facebook: https://web.facebook.com/Aroncademy-102257078382850 Instagram: https://www.instagram.com/aroncademy/ Twitter: https://twitter.com/aronbeatz #angella #harmonize #angellaftharmonize

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 20