المدة الزمنية 5:31

KIJANA ANAYEMUIGIZA SAUTI MARIN HASSAN MARIN ATINGA STUDIO ZA TBC / ATANGAZA HABARI KIMARIN

33 063 مشاهدة
0
216
تم نشره في 2020/04/04

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 65
  • @
    @nyavas41منذ 4 سنوات hongera sana uko vizuri sana na unasauti yakuwa mtangazaji mzuri utafika mbali sana. 4
  • @
    @rashidally1149منذ 4 سنوات Huyu jamaa ni nomaa Mungu amlaze mahali pema Peponi maana yy ni muanzilishi wa vipindi vingi ambavyo mpaka leo vina heat
    1) Jambo Tanzania TBC id="hidden2" class="buttons">
    2) mawio Zanzibar radio
    3) Tuongee asubuhi zbc Zanzibar
    4) Aridhio TBC
    N.k
    2
    ....وسعت 1
  • @
    @farajagordon4724منذ 4 سنوات Huyu nizaid bwana anasauti nzuri sio kajaribu kazidi hasa 5
  • @
    @jumason142منذ 4 سنوات Kijana anafaa kabisa kupata nafasi tbc maana c kuiga sauti tu anasauti hadim kwa watangazaji 2
  • @
    @gracechalagwa9745منذ 4 سنوات Hongera sana, Goodluck wa jina la mwanangu 2
  • @
    @agent48classified40منذ 4 سنوات Tbc mnajitahidi.
    Naona studio safi.
    7
  • @
    @benedictdau9161منذ 4 سنوات Aridhio ,mabadiliko makubwa ndani ya TBC, hakika tutakukumbuka Marin Hasan marini R.I.P 8
  • @
    @wizydeko1496منذ 4 سنوات Mtoto mzuri huyu mtangazaji jamani mungu kaumba yakhee 4
  • @
    @binurusm8886منذ 4 سنوات Haa !! Jamani huyu kijana tafadhali msimcheleweshe mchukueni hapo TBC ngalau iwe mojawapo ya kumbukukumbu ya Hassan Marin, chondechonde watamuwahi huyu, id="hidden3" class="buttons"> Vituo vya habari vipo vingi sasa hivi, Mungu amuweke pema Hassan Marin, Aamina. ....وسعت 5
  • @
    @komboomar8275منذ 4 سنوات Hata BBC kunakufaa uko vizuri kijana 2
  • @
    @moudyissa6966منذ 4 سنوات Uyu jamaa yupo vizuri jamaniii ebu nipeni like 16
  • @
    @maryoswad7022منذ 4 سنوات Mpeni kazi anakipaji cha utangazaji daaa 4
  • @
    @rehemamsuya2263منذ 4 سنوات Dah umenikumbusha Marin nilikua namkubali sn 4
  • @
    @yudatadeshayo4434منذ 4 سنوات Aise huyu ni mwandishi wa habari nguli kabisa anapangilia maneno daaah mpeni ajira 4
  • @
    @hamadshein8272منذ 4 سنوات Co unaiga sauti ya bambo au kingwendu. Tisha sana. 4
  • @
    @tabumussa9406منذ 4 سنوات kijana umeweza sana tunaomba upatiwe ajira tbc. 5
  • @
    @danielmlanda2546منذ 4 سنوات Moja kwa moja binafsi nawaomba tbc mumuajiri huyu kijana 7
  • @
    @dapinitiative2451منذ 4 سنوات Huyo kijana Yuko bomba Sana, Mmmh lkn kwann anataman saut ya Marin wakt yy saut yake ni Zaid ya Marin??.Duh naomba anitafute , TBC Mambo yenu ni Safi Sana, yaan Safi saana, Nawatakia Pasaka Njema!! 8
  • @
    @raymondkaswaga5055منذ 4 سنوات Atakuwa mtu mkubwa sana huyu dogo kwenye tasnia ya habari 5
  • @
    @tabletennis6296منذ 4 سنوات Anatamba mbele ya camera kama mwandishi mkongwe kabisa 3
  • @
    @davydany9648منذ 4 سنوات Sauti yako tu yatosha hakika hata sauti yko yafaa kukalia kitu alichokuwa anafanya 2
  • @
    @badenbensoni7516منذ 4 سنوات Tujenge utamaduni wa kuwasifu watu wakiwa hai. 10
  • @
    @tabletennis6296منذ 4 سنوات Huyu dogo mbona kama mwandishi ni fundi sana yuko na mvuto mkubwa sana wa habar anajua kucheza na camera kafanya vzr kuliko mwandishi aliemkaribisha 4
  • @
    @alimakame9215منذ 4 سنوات Bado kidogo kwasababu Marin sauti yake ilikuwa nzito huyu yake nyembamba 2
  • @
    @richardcharle866منذ 4 سنوات Mpeni kazi sasa maana kuna watu wanaitwa wasafi wakimwona tu wanae 6
  • @
    @saloumshusko2798منذ 4 سنوات Bado ajaweza labda ajitaidi kufatilia sana hassan marin kwenye clip zake
  • @
    @rashidally1149منذ 4 سنوات Huyu jamaa ni nomaa Mungu amlaze mahali pema Peponi maana yy ni muanzilishi wa vipindi vingi ambavyo mpaka leo vina heat
    1) Jambo Tanzania TBC id="hidden5" class="buttons">
    2) mawio Zanzibar radio
    3) Tuongee asubuhi zbc Zanzibar
    4) Aridhio TBC
    N.k
    2
    ....وسعت 1
  • @
    @binurusm8886منذ 4 سنوات Haa !! Jamani huyu kijana tafadhali msimcheleweshe mchukueni hapo TBC ngalau iwe mojawapo ya kumbukukumbu ya Hassan Marin, chondechonde watamuwahi huyu, id="hidden6" class="buttons"> Vituo vya habari vipo vingi sasa hivi, Mungu amuweke pema Hassan Marin, Aamina. ....وسعت 5