Ifahamu kwa undani historia ya rapper Ilunga Khalifa aka Cpwaa kwenye mahojiano haya ya mwisho kufanya naye kupitia kipindi cha Chill na Sky. Rapper huyo amefariki dunia Jumapili ya January 17, 2021
@peterpaulinuce4316منذ 3 سنواتPumzika kwa aman brother, mbele yako nyuma ye2 1
@
@mwatumudogo3948منذ 3 سنواتInna lilahi waina ileih rajiun allah ampokee kwa mkono wake wa Kulia amsamehe dhambi zake za siri na dhahiri inshallah amueke pema palipo na wema amin 5
@
@mutahangarwasamwel4643منذ 3 سنواتEzi za uhai ulikua atariiiii mungu akuleheem br
@
@samirnaty8774منذ 3 سنواتBonge la interview bro mungu ampe safar njema kauli thabit
@
@bish_daddiyaoمنذ 3 سنواتEastAfrica Industry Will Miss You Ninjah Mola Akwondolee Mchanga Wa Macho..❤️
@
@mariamkassim9925منذ 3 سنواتInna lillahi wainna ilayhi raajiun so sad 4
@
@khalekichambo1131منذ 3 سنواتInna lillahi wa inna ilaiyhi rajiun, laiti tungelijua tarehe ya kifo tusinge panga mambo ya huko mbeleni. Mungu amsamehe makosa yake na alipe mwanga kaburi lake 2
@
@khadijanjama8721منذ 3 سنواتInna lillahi wainna ilayhi raajiun poleni kwa msiba
@victormwansasu7005منذ 3 سنواتR.I.P. daaah ..Ngoma la Action lilikuwa poa sanaa 2
@
@youngchua697منذ 3 سنواتmauti ni mlango kila mmoja atapita katika mlango huo kwa iyo tujipange kuikabili safari hioooo 17
@
@franciskyombo4289منذ 3 سنواتCpwaa kuna namna anachezeaga mic inatoa visauti Mana nlimuona tamashani leaders club 2004.Tunakupendana haijalishi upo au haupo.
@
@claudialupimo7614منذ 3 سنواتSikuwahi kukuona wala kukufahamu enzi za uhai wako. Ila nmeona interview na baadhi yawatu walikupost.. Nimesikitika na Mungu akupokee.. Ni njia yetu sote
@
@aminaathuma3193منذ 3 سنواتR i p sjui ni kwann mnapenda mzik wakat uko vizur shulen 2
@
@abdurabmsuya7291منذ 3 سنواتDu haya maisha anamuombea mwenzake Godzilla leo na yeye tunamuombe pumzika kwa Aman Cpwaa 1
@
@jiangjoseph4378منذ 3 سنواتDu alipanga aende kimamataifa du R.I.cp
@
@shakilamasoud2983منذ 3 سنواتMaisha ni mafupi sana jamani, apumzike kwa amani 2
@
@joeboyhk829منذ 3 سنواتKwani uwa mna ficha interview alafu mna zitoa mtu akisha fariki?? 4
@
@hammylove1268منذ 3 سنواتKwann huwa hampost wakiwa hai jmn? Nimeobserv ndio maan nmeongea coz hata marehem mzee jengua mkampost enterview yake baada yakufariki? 4
@
@youngchua697منذ 3 سنوات Mpemba wa Mwanzo kufika kwa Ali Samatta
@
@loner_wolfمنذ 3 سنواتWewe ILUNGA ni jina la kisukuma hilo. Mimi hata bila ww kusema nilishahisi utakuwa msukuma. Uliza Ilunga ni jina la watu gn utaambiwa ni majina ya kisukuma 2
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Ifahamu Historia ya Marehemu Cpwaa kwenye mahojiano haya ya mwisho:
Mpemba wa Mwanzo kufika kwa Ali Samatta