المدة الزمنية 27:13

LIVE: SIMBA SC Wafanya DUA MAALUMU ya KUOMBEA TIMU, MSIMU UJAO TUNACHUKUA UBINGWA ASUBUHI TU

بواسطة Global TV Online
16 910 مشاهدة
0
119
تم نشره في 2020/08/16

🔴#LIVE: SIMBA SC Wafanya DUA MAALUMU ya KUOMBEA TIMU, "MSIMU UJAO TUNACHUKUA UBINGWA ASUBUHI TU"... KLABU ya soka ya Simba, leo Agosti 16, wamefanya dua maalumu ya kuombea timu yao baada ya kuwa na msimu wenye mafanikio makubwa... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 38
  • @
    @amanifadhili6884منذ 4 سنوات Mungu ibarki simba na viongozi wa simba pamoja na mashabiki wake@simbanguvumoja 1
  • @
    @suliathuman1565منذ 4 سنوات Allah ijalie kheri Simba SC waweze kufika mbali kimafanikio.Nawote walioshiriki ktk Dua hii NAIMA. 1
  • @
    @eliasnyondo2167منذ 4 سنوات Mungu ibarik timu ya smb sc uwatie baraka na hekma viongoz wachezaj wanachama na mashabiki wote . timu iweze kufanya vizur club bingwa afrka.
  • @
    @nyamogatv1954منذ 4 سنوات Viongozi wetu wa Simba mnakosea Sana mnabagua dini
    Kila mwaka simba inaombewa kwa iman ya kiislam tu
    Kama Simba niya waisilam twambien tujue
  • @
    @namchokondasaid9866منذ 4 سنوات Duuuuuu sijawai ona dini yetu ikidhalilishwa Kama ivi kweli mashehe nyinyi muraaniwe munaichezea dini kwenye mpira kweli
  • @
    @stephanochungu5959منذ 4 سنوات Waisilam tu ndoo wenye simba yao au maana kila mwaka ninyinyi tu nasie wa Kristo mnatuweka wap
  • @
    @ibrahimkadibo810منذ 4 سنوات Wafanye na wao maana Simba imelukisha tamasha lao Simba day na wao wamerukisha
  • @
    @emanuelmakalwe5415منذ 4 سنوات Hv hakuna mashabiki wa Simba wa dini zingine. Wakiona hv wanajisikiaje. Au pengine dini zingine zimewekewa utaratibu mwingine? 2
  • @
    @jumannemihayo5517منذ 4 سنوات Manara wewe hatutakubali ustaafu usemaji bado tunakuhitaji Sana kuliko unavyofikiria kwahiyo we piga kazi hakuna kustaafu simba 1
  • @
    @marryriwa2435منذ 4 سنوات Mola awe nanyi timu yangu kwa Kila Jambo liwe jema
  • @
    @zaibani_technology_company9519منذ 4 سنوات njia nzuri ya kufanya video promo ni digital marketing ,online
    advertising compaign , logo designs , kwa msaada zaidi tufollow twitter @t
  • @
    @pauljulius8282منذ 4 سنوات UTARATIBU HUU SIMBA WAMEFERI INAMAANA TIMU NIYAWAISLAMU TU HII ATARI
  • @
    @mohamedsalim9815منذ 4 سنوات Yani asiv binadamu tunafika pabaya tunamshilikisha mungu kwenye mambo ya kishetwan msiba mkubwa huu mungu awalaan wooooooote mulioshiliki kwenye ushenzi huu