المدة الزمنية 2:2

ASKOFU GWAJIMA : HII NDIO MAANA HALISI YA NENO AMFIFIRO/ NIMESOMA SAYANSI SIBAHATISHI

بواسطة Wasafi Media
24 587 مشاهدة
0
271
تم نشره في 2020/05/03

Siku ya leo tumepata Baraka za kupewa ufafanuzi wa hali ya juu kuhusu neno AMFIFIRO (AMPHIPHILE) Ambalo Askofu JOSEPHAT GWAJIMA alilitaja katika moja ya ibada yake na ametufafanulia vizuri sana kwa undani kwa nini Sabuni ina uwezo mkubwa wa kuua virusi ambavyo vinakua vimejishikiza katika mwili wa Binadamu #Gwajima #WasafiSundayWorship #ChukuaTahadhari

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 47