المدة الزمنية 4:24

TASWIRA KIMATAIFA : Rais Biden ahitimisha ziara yake barani ulaya, Khan akabidhiwa mikoba ICC

بواسطة Dalmus Sakali
42 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2021/06/18

Rais Wa Marekani Joe Biden Na Mwenzake Wa Urusi Vladimir Putin Wamesema Mkutano Wao Wa Mjini Geneva Ulikuwa Wa Mafanikio Na Wamezungumzia Uwezekano Wa Mataifa Hayo Mawili Kurekebisha Dosari Na Kufanya Kazi Pamoja. Viongozi Hao Wawili Wameutumia Mkutano Wao Wa Kwanza Mjini Geneva Kujaribu Kupunguza Mivutano Inayoyumbisha Mahusiano Baina Ya Nchi Hizo Mbili. Kwingineko, Wakili Wa Uingereza Karim Asad Ahmad Khan, Ambaye Alichaguliwa Kama Mwendesha Mashtaka Mkuu Mpya Wa Mahakama Ya Kimataifa Ya Uhalifu (Icc), Alianza Jukumu Lake Kwa Kula Kiapo. Tafadhali SUBSCRIBE kupata uhondo zaidi #Taswira_Kimataifa #KarimKhan #JoeBiden

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0