المدة الزمنية 3:32

Walter Chilambo - Neema Yako (Official Music Video) [For SKIZA dial *812*788 ]

بواسطة Walter Chilambo
351 394 مشاهدة
0
3.8 K
تم نشره في 2021/03/16

Music Video for "Neema Yako” by Walter Chilambo Watch the latest music videos by Walter Chilambo: /watch/1=xedni&dWWGtax-ebKD8Drte30BIWIXJaBz8uKoLP=tsil&w2_cJTFQnIzQe Listen to Walter Chilambo here: https://snd.click/glmqrfp Follow Walter Chilambo Instagram: https://www.instagram.com/walterchilambotz/ YouTube: /c/WalterChilambo Audio produced by: Walter Chilambo/ Amyz Video production by: LMBfilms @lmbfilms Directed by: X.O.G Neema Yako Lyrics Umenitoa mbali Kusiko julikana Kwa Neema yako Isiyosemekana Umenitoa kule kusikojulikana Kwa upendo wako Usiosemekana Ni Muujiza Mi kufika hapa Ni Muujiza Mi kuwa hai Ni Muujiza Kupendwa na wewe Yesu Ni Muujiza Kusimama tena Si kwamba mimi nimetenda wema saaaana Si kwamba mimi ni mtakatifu sanaaaa Si kwamba mimi ni mnyenyekevu sanaaaa Si kwamba mimi nko sawa sawa sawa sanaaa Ilaaaaaa Ni Neema yako Bwana (Neema yako Bwana ) Ni Neema yako Bwana (Neema yako Baba ) Ni Neema yako Bwana (Aiyelelele leleleee) Neema yako Bwana Neema yako Bwana Duniani nimekutana na mengii Taabu na misukosuko Kuishiwa na kuchoka Duniani nimepambana na vingii Kutengwa na kukataliwa Mimi eeh Ninaona ajabu Hukuniacha nilivyo Oh Ajabu Hukunipungukia Yesu Si kwamba mimi nimetenda wema sanaaa Si kwamba mimi ni mtakatifu sanaaaa Si kwamba mimi ni mnyenyekevu sanaaa Si kwamba mimi nko sawa sawa sawa Sanaaa Ila Ni Neema yako Bwana (Neema yako Bwana) Ni Neema yako Bwana (Neema yako Baba) Ni Neema yako Bwana (Aiyelelele leleleee) Neema yako Bwana Neema yako Neema yako Ni Neema yako Bwana Neema yako Ni Muujiza (Ni Neema yako Bwana) Ni Muujiza Ni Neema yako Bwana Ni muujiza Yesu unaniwazia mema (Ni Neema yako Bwana) Mazuri unanitendea Ni Muujiza Ni Neema yako Bwana Ni Muujiza WALTER CHILAMBO 👑 #WalterChilambo #NeemaYako #LMBfilms

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 705