@estherkoya8410منذ 5 سنواتMchungaji ni binadamu, iman inatoka kwa MUNGU, mwanadamu anapokosea msihukumu iman maana aliyeiba ni mwanadamu sio iman imeiba, 7
@
@saidndimbwa4976منذ 7 سنواتDalili za qiyama.Allah atupe mwisho mwema inshaallah. 15
@
@vinozamhone1110منذ 7 سنواتDon't call him mchungaji now just call him Mr. Footprints 9
@
@reginalaurent5175منذ 6 سنواتHuyu dada.anavyoongea saut yake kama kajala 3
@
@fatwimamakungu5456منذ 7 سنواتHahaha jamani nime cheka da huu alipo sema siku akiludi na kikombe mama anasema Leo hali mbayaa wallah
@
@user-br7nc7hw3lمنذ 7 سنواتHuyo mwizi hapo hapa mfai uyo., ni bora
@
@wemapingu5580منذ 7 سنواتHee makubwa mwizi huyo. Huo uchungaji ni kisingizio 1
@
@suleimanaula447منذ 7 سنواتM'mbwa mwitu kavalia ngozi ya kondoo. 1
@
@roseuwambe893منذ 3 سنواتHuyo sio mchungaji ni muizi mkubwa anajificha kwa mungu
@
@wardamunguakuzidishew9399منذ 2 سنواتKama Amna picha ya mtuumiwa usiweke kitabu cha mungu aliokosea ni binadamu kama nyie kwa nn mnaweka biblia mm muislamu lakini sijapenda 1
@
@manahiljamal834منذ 2 سنواتWasimfate matendo yake wayafate maneno yake
@
@mamatuishi-mamatuondoke8822منذ 7 سنواتMmh huyu zoa mamaye,Akome uichafua dini yetu,kibaka mkubwa 2
@
@juliethhouseofdesigns147منذ 4 سنواتUyo alijivika jina la mchungaji kama kivuri ila ukweli ni mwizi,
@
@rukianzalawahe2773منذ 3 سنواتSijapenda picha mlooweka mngeweka hata ya Nabil Tito 1
@
@fidesbenard2701منذ 5 سنواتHakuna dini inayompeleka mtu mbinguni. ni Mimi na wewe kuacha matendo mabaya yaliokatazwa kwenye vitabu vya dini. ohooo uislamu ndio dini poa sio kweli id="hidden1" class="buttons"> jamani tuache kuanyooshea watu vidole uyo ametenda dhambi kama mtu mwingine ....وسعت1
@
@marygaspar6429منذ 5 سنواتJamani kuna Waislam wangapi wanafanya makubwa hata zaidi ya haya? wapo Mashekhe waliolawiti je? na sisi tuwaulize Uislam nao ni dini? maana huyu mchungaji id="hidden2" class="buttons"> tu kudokoa ndo mseme Ukristo siyo dini. Hakuna kitu kibaya kama mwanadamu kujifanya mkamilifu kuliko wenziwe! ....وسعت1
@
@fidesbenard2701منذ 5 سنواتHakuna dini inayompeleka mtu mbinguni. ni Mimi na wewe kuacha matendo mabaya yaliokatazwa kwenye vitabu vya dini. ohooo uislamu ndio dini poa sio kweli id="hidden3" class="buttons"> jamani tuache kuanyooshea watu vidole uyo ametenda dhambi kama mtu mwingine ....وسعت1
@
@marygaspar6429منذ 5 سنواتJamani kuna Waislam wangapi wanafanya makubwa hata zaidi ya haya? wapo Mashekhe waliolawiti je? na sisi tuwaulize Uislam nao ni dini? maana huyu mchungaji id="hidden4" class="buttons"> tu kudokoa ndo mseme Ukristo siyo dini. Hakuna kitu kibaya kama mwanadamu kujifanya mkamilifu kuliko wenziwe! ....وسعت1
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Dunia simama wengine tushukeSikia Hekaheka hii ya mchungaji anayeibia waumini wake huko Madale: