المدة الزمنية 3:40

Maiti yazungumza na mkaaji wa Kaunti ya Bungoma

بواسطة KTN News Kenya
1 321 699 مشاهدة
0
2.4 K
تم نشره في 2015/05/29

Je mtazamaji, wafu huwa na mvuto upi katika maisha ya siku kwa siku ya wale walio hai? Ni swali linaloulizwa na baadhi ya watu katika kaunti ya bungoma baada ya wenyeji wa kijiji kimoja kufika mahakamani, na kupata idhini ya kuufukua mwili wa mmoja wao, waliyedai kuwa alikuwa akiwasumbua kwenye ndoto. Yadaiwa amekuwa akiomba kuzikwa mahala pengine. Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 128
  • @
    @theenjeriمنذ 2 سنوات Spirits never die.Thats why we pray to let the body rest in peace 6
  • @
    @nusaibahassan5842منذ 6 سنوات Forever You Will Remain In Our Heart's Ahmed Dharwesh 13
  • @
    @leyasalma354منذ 5 سنوات Miss u darweesh mungu ailaze roho yako peponi ameen 9
  • @
    @mercyomukunde9305العام الماضي I miss darwesh .may his heart continue resting in peace
  • @
    @anapaschal5591منذ 2 سنوات Mungu ni mwema Hadi maiti zinaongea aisee!!!!!hatari sanaaa 1
  • @
    @sariysariy6293منذ 6 سنوات Darwish we miss may Ur soul rest in peace may Allah grant u Jannahtul firdos Ameen 9
  • @
    @johnmasinde1875منذ 3 سنوات It's called a familiar spirit. It manifests through a dream using same voice & appearance of the deceased 4
  • @
    @alisaalis9218منذ 7 سنوات Darwesh tulikupenda lkn mungu alikupenda zaidi upumxike kwa amani 10
  • @
    @amaninaupendo.3539منذ 6 سنوات Amen amen. Wapendwa wa Mungu mgeukieni Mungu ndiyo mweza wa yote. 2
  • @
    @alikiba9960منذ 7 سنوات Allah Akujaalie pepo ya juu Ahmed Darwesh amin 2
  • @
    @abdihussein822العام الماضي Innalillahi Wainna Ileyi Rajiuun, may Allah grant you Jannatul Firdaus , Ahmed Dharwesh
  • @
    @margaretnamubi4565قبل 4 أشهر luhyas drama..never end.hesabu ya watu walio muua
  • @
    @gandiwehu5818العام الماضي Darwesh was a legend.
    Inna Lillahi Wa'Inna Illeyhi Rajyun
  • @
    @peninahgathari4879منذ 5 سنوات lakini Jamani , si hizi gari za polisi hubeba vitu mingi 3
  • @
    @doreenmnyitte4025منذ 4 سنوات Yes lazima angefufuliwa kila watu wafwate kimila yao kabisaa 1
  • @
    @manganamanganamanganamanga7313منذ 5 سنوات Ninyi niwajinga sana unajua mukihusisha vifo na mambomemgi hamutaishi vzr hapo 2
  • @
    @mamymdogomamy3670منذ 5 سنوات Jamani Mila zitaisha lini ndugu yaa Allah tunusuru ss waja wako 4
  • @
    @annestanciamachome4151منذ 5 سنوات Duh! Nimeshangaa sana jaman binadam kufukuliwa
  • @
    @firdausabdullah6315منذ 6 سنوات Kenya vituko havitaisha maisha yazidi kupanda 1
  • @
    @mpwapwanewstv8204منذ 5 سنوات Mhh hiyo asee Mtu akifa anaweza kufufuka tena bt KWA utamaduni inaeezekana .
  • @
    @bendettamumbua4167منذ 2 سنوات Wololo! These are the shaking day's. Yaani maiti inaongea??? Tena roho inaamlisha mwili uzikwe kwingine. .
  • @
    @millicentouma2324منذ 4 سنوات Waluyia Please, know God.The Dead Never come back,but the devil comes in dreams with the Face of that Dead Person . 5
  • @
    @shuebsaleh7037منذ 8 سنوات may Allah grant you jannatulfirdaus Ahmed darwesh 21
  • @
    @beverlinekilwaye9954منذ 7 سنوات mtu akifa amekufa hayo ni mapepo jameni 16
  • @
    @nelsonmandela4640منذ 2 سنوات Mtu aniconect nipate ploti uko siloba!
  • @
    @evederrick6743منذ 2 سنوات Akuna mazinga ubwe apo,,, They spirit of that son is still around why the killed innocent soul
  • @
    @nissispuppies5990منذ 2 سنوات They accused someone falsely until the murderer confessed 6 yes later. He was killed by Masten Wanjala n ýet someone else is serving a life sentence . Sad
  • @
    @benazirfred519منذ 4 سنوات Rip Darwesh haki sijaahi amini uliaga dunia.maiti kuongea n.a. mapepo 1
  • @
    @daianammbone6922منذ 2 سنوات Watu wakombolewe watoke kwa Mila, kwani maiti Ina uwezo wa kuongoza jamii
  • @
    @pamelajuma1239منذ 8 سنوات Hayo ya ndoto nikweli marehemu aongea throu ndoto anavio taka 4
  • @
    @mafurufilipo8358منذ 5 سنوات Tusizungumzie Kuhusu uChawi pekeyaket Bali tukumbuke Kuwa kila Nafs itaonja maut 1