المدة الزمنية 35:24

Freeman Mbowe alipomfagilia JK kwa juhudi zake za kuendeleza miundombinu Tanzania

بواسطة MUHIDIN MICHUZI
47 668 مشاهدة
0
115
تم نشره في 2012/11/03

Mbunge wa Hai ambaye pia Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe akihutubia wakati wa uzinduzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani Hai, wakati wa ziara ya kikazi ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete mkoani Kilimanjaro Oktoba 29, 2012

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 14