المدة الزمنية 3:11

SEKUNDE 180 ZA KWELI : Tofauti ya Kanisa la Sasa na Zamani - SEHEMU YA KWANZA

بواسطة CHURCH STATION
1 073 مشاهدة
0
73
تم نشره في 2019/03/30

Sekunde 180 za Kweli ni Mfululizo wa Mahubiri yanayolenga kukufunza Ukweli kuhusu mambo mbali mbali ya Kiimani, Jiunge na Mchungaji Dicksoni Kabigumila Kutoka ABC Ministries. Tafadhali kama ukipenda Mahubiri haya yawafikie wengine hakikisha Umeshare, ila pia unaweza kuweka maoni yako, na pia Usiache Ku SUBSCRIBE ili kila somo jipya linapotoka basi uwe wakwanza kulipata. #kwelitv

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 28