المدة الزمنية 1:29

Wakili Kanjama aondolewa kwenye kesi kuhusu rufaa za kupinga mchakato wa BBI

بواسطة KBC Channel 1
269 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2021/06/28

Wakili Charles Kanjama ameondolewa kwenye kesi kuhusu rufaa za kupinga mchakato wa BBI kabla ya kuanza kwa kesi hiyo hapo kesho. Jopo la majaji watatu liliamua kuwa jaribio la Kanjama la kutaka ashirikishwe kwenye kesi hiyo liliwasilishwa katika mahakama ya rufani bila kuzingatia utaratibu unaofaa kwani mahakama kuu vile vile ilikuwa imemnyima fursa hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNews #Kenya

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0