المدة الزمنية 5200

Gari la mfano linaloweza kupaa angani

بواسطة BBC News Swahili
4 934 مشاهدة
0
31
تم نشره في 2021/07/02

Gari la mfano linaloweza kupaa angani limekamilisha dakika 35 angani kati ya viwanja vya ndege huko Nitra, na Bratislava nchini Slovakia. Gari hilo kwa jina 'Aircar'{Gari ndege} lina injini ya gari la BMW na hutumia mafuta ya petroli. Muundaji wake Profesa Stefan Klein , anasema kwamba linaweza kupaa angani kwa zaidi ya kilomita 1000 na urefu wa juu wa futi 8,200 na kufikia sasa limefanikiwa kukaa angani kwa saa 40. Inachukua dakika mbili na sekunde 15 kubadilika kutoka kuwa gari hadi ndege. #bbcswahili #teknolojia #slovakia

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 5