المدة الزمنية 13:18

MKUTANO WA INJILI P.M.C BUKUBA EPISODE 1,CHIPUKIZI P.M.C BUKUBA VS P.MC JIMBI WAPAMBANA KIUIMBAJI

بواسطة Kizazileo Media
341 مشاهدة
0
4
تم نشره في 2021/08/04

HUU NI MFULULIZO WA MATUKIO YA MKUTANO WA INJILI ULIOFANYIKA KATIKA KANISA LA PENTEKOSTE MOTOMOTO BUKUBA WILAYA YA BUHIGWE-KIGOMA TAREHE 23/07/2021-25/07/2021 KAMA MKUTANO WA KITUO ULIOHUSISHA MAKANISA YA P.M.C JANDA,KIRUNGU,JIMBI NA BUKUBA PAMOJA NA MAKANISA YOTE JIRANI YA KATA YA BUKUBA WILAYA YA BUHIGWE MKOA WA KIGOMA.WACHUNGAJI WA MAKANISA HAYO WALIOKUWEPO NI BONIFAS SUGWEJO(MWANGALIZI WA MAKANISA HAYO NA MCHUNGAJI WA P.M.C KIRUNGU),IBRAHIM KITEKA(P.M.C BUKUBA),BOAZI BIHAMASO(P.M.C JANDA) NA LAMECK KAFASHE(P.M.C JIMBI) PAMOJA NA WAINJILISTI NIKODEM RAFIKI KUTOKA P.M.C BUKUBA NA IBRAHIM CHARLES KUTOKA P.M.C JANDA.TAZAMA SEHEMU ZOTE 12(12 EPISODES). MAWASILIANO 0757988254/0756838791

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0