المدة الزمنية 9:25

Jinsi Ya Kushinda vita vya maneno na matokeo yake part 3

بواسطة Zaburi TV
190 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2019/05/15

SOMO: NI KWA JINSI GANI WAWEZA KUKABILIANA NA VITA NA MADHARA YA MANENO YANAYOACHILIWA KUKABILIANA NA WEWE NA: MCH. MARTHA RICHARD Katika vita vya kiroho huwa yanatumika maneno Sababu ya vita ya maneno ni ili kuharibu mtazamo au mwelekeo wa maisha yako. Hii huwa na lengo la kukuchafua WAEBRANIA 4:12 maana neno la Mungu li hai…..tena lachoma hata kuzigawanya nafsi na roho UFUNUO 19:11-15 ZABURI 55:21 Kinywa chake ni laini kuliko siagi….Maneno yake ni mororo kuliko mafuta, Bali hayo ni panga wazi MITHALI 26:28 ulimi unenao uongo huwachukia wale uliowajeruhi AYUBU 5:21 Utafichwa na mapigo ya ulimi, wala usiogope maangamivu yatakapokuja Note: huna namna ya kuzuia vita au maneno yanayokuja juu yako ila una namna ya kukabiliana nayo ISAYA 54:17…. .kila ulimi utakao inuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa MATENDO 28:3-5 Moyo wa mtu ni mzuri sana katika kukuza maneno yanayoingia kwani ni mahali ambapo maneno husitawi Note: Sio kila neno litokalo kwa adui ni baya bali kuna neno la kuchukua kwa ajili ya kuendelea kwako. MUHUBIRI 7:21 WAEFESO 6:16 Zaidi ya yote mkitwaa ngao ya Imani ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote ya yule mwovu WAEBRANIA 11:33-34 Kwa Imani walishinda milki za wafalme…waliokoka na makali ya upanga USIRUHUSU 1: Uchungu (WAEBRANIA 12:15) 2: Usiruhusu kuto kusamehe 3: Usiruhusu kisasi

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0